MUREFU
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,331
- 353
Na hiyo ni Tanzania hata yeye anaesema Akiambiwa leo anamgeni anaemuamini atabadili nguo na atatumia vyombo vinayokaaga kwenye kabati siku zote.
So soni kama ni jipya hili maana hata tulipokuwa shule za msingi tulikuwa tukipata wageni tunapanga mawe na kuweka chokaa juu.
So hiyo ndio Tanzania
Cc: Mwendazake
So soni kama ni jipya hili maana hata tulipokuwa shule za msingi tulikuwa tukipata wageni tunapanga mawe na kuweka chokaa juu.
So hiyo ndio Tanzania
Cc: Mwendazake

mzee wa regasi!?