Mwanza hapafai, msilinganishe na Arusha

Mwanza hapafai, msilinganishe na Arusha

Wadau habari za jioni,

Tangu jana niko kwenye mji ambao wengi wanauita Rock City, ama kweli ni jiji la miamba tu halina lolote.

Lengo lengo langu hasa hapa nilikuja kutafuta vitendea kazi ikiwa ni pamoja na kutafuta Video Camera na vifaa vingine, cha ajabu maduka Mwanza hakuna hata Duka la vifaa hivyo vidogo ktk maisha.

Nyie wasukuma watani zangu msirudie hata kulinganisha Mwanza na Arusha please.
tatizo nini kila kitu mwanza vs arusha...kama mnaamini arusha ipo juu kapambanishe na dsm au Nairobi. ...cha ajabu kila siku mnafananisha mwanza na arusha...arusha haiwezi kuifikia mwanza hata Kdogo unatishwa na hotel za makazi ya popo
 
watu wa arusha msipopambanisha mji wenu na mwanza mnawashwa sana....mkikaa huko mnaamini mji wenu umekamilika...Ila mkija mwanza mnajiona duni kinachobaki ni kutafta kasoro ya mwanza
 
hata akil za chuga na mwanza sio sawa kabisa nyie mnatakiwa mbatle na TA
 
mkuu utakuwa umeshukia usagara kesho panda gari uje mjini utaipata hiyo kamera.
Siku nyingine usirudie kushuka bila kuuliza kama umefika kama hiyo sehem huijui
Hapana mkuu sikushukia usagara nilishukia Nyege-zi nikapanda Hiace mpaka mjini,.
 
Wadau habari za jioni,

Tangu jana niko kwenye mji ambao wengi wanauita Rock City, ama kweli ni jiji la miamba tu halina lolote.

Lengo lengo langu hasa hapa nilikuja kutafuta vitendea kazi ikiwa ni pamoja na kutafuta Video Camera na vifaa vingine, cha ajabu maduka Mwanza hakuna hata Duka la vifaa hivyo vidogo ktk maisha.

Nyie wasukuma watani zangu msirudie hata kulinganisha Mwanza na Arusha please.
Nimeishi Mwanza miaka mi3 nikiwa kama Camera Man nimekuwa nikipata aina zoooote za Camera hapao mjini bila kujali ukubwa. Ninamshaka na Mwanza yako wenda umefikia Sengerema unajisibu upo Mwanza. Mzee nenda City Centre upate huduma zoote hapo.
sasa si uende huko Arusha.
 
Itakua umeshukia usagara ww...macamera yamejaa pale Semira electronics mtaa wa liberty kwa mchaga anaitwa flender Lema na ndiye mmiliki wa villa park
 
Wadau habari za jioni,

Tangu jana niko kwenye mji ambao wengi wanauita Rock City, ama kweli ni jiji la miamba tu halina lolote.

Lengo lengo langu hasa hapa nilikuja kutafuta vitendea kazi ikiwa ni pamoja na kutafuta Video Camera na vifaa vingine, cha ajabu maduka Mwanza hakuna hata Duka la vifaa hivyo vidogo ktk maisha.

Nyie wasukuma watani zangu msirudie hata kulinganisha Mwanza na Arusha please.
We jamaa kuna kitu hakipo sawa kwenye ubongo wako.

Kwanini usinge nunulia hivyo vitu huko arusha kama kweli unafaham vinapatikana arusha? Kwanini ukaamua kufunga safari toka Arusha hadi Mwanza?

Halafu Muha na Arusha wapi na wapi.
 
Kama Arusha kuna unachohitaji,mwanza ulifata nini!
Inashangaza sana ukiangalia ugumu uliopo kimawasiliano kati ya Mwanza na Arusha halafu limit tu linakuja huku kudai sijui Mwanza nini, umepita mikoa mingapi kufika Mwanza?, mbona hata Miji ya Moshi, Tanga, Dodoma, Morogoro na Dar ndo iko karibu kuliko kuzunguka all ze way to Mwanza? Kiazi tu wewe.
 
We jamaa kuna kitu hakipo sawa kwenye ubongo wako.

Kwanini usinge nunulia hivyo vitu huko arusha kama kweli unafaham vinapatikana arusha? Kwanini ukaamua kufunga safari toka Arusha hadi Mwanza?

Halafu Muha na Arusha wapi na wapi.
Haaaaaaaa imebidi ncheke sana, sio lazima muha aishi Kigoma, kigoma nimezaliwa tu my bro,
Lakini pia km sikosei kwenye post yangu kuna Point nimesema hv *kuna boya kaniuza kwamba Mwanza upatikanaji wa vifaa ninavyo hitaji ni vingi na ni bei Nadia.
Lakini ktk kutafuta ndio nikaona Mwanza nipa kiboya sana jamaa yangu.
R ni shida.
By the way sio lazima kutukana. Barikiwa sana Karibu Arusha tule Rosholo unaijua?
 
Wadau habari za jioni,

Tangu jana niko kwenye mji ambao wengi wanauita Rock City, ama kweli ni jiji la miamba tu halina lolote.

Lengo lengo langu hasa hapa nilikuja kutafuta vitendea kazi ikiwa ni pamoja na kutafuta Video Camera na vifaa vingine, cha ajabu maduka Mwanza hakuna hata Duka la vifaa hivyo vidogo ktk maisha.

Nyie wasukuma watani zangu msirudie hata kulinganisha Mwanza na Arusha please.
Mwanza ni mj wa miamba na mahali oa mapumziko sie zetu mitubwi camera ndo nini?? Vitendea kazi vyetu Nyavu na jembe.

Usituletee vya pwani Mwanza.
Hapa kazi tu
 
Nimeishi Mwanza miaka mi3 nikiwa kama Camera Man nimekuwa nikipata aina zoooote za Camera hapao mjini bila kujali ukubwa. Ninamshaka na Mwanza yako wenda umefikia Sengerema unajisibu upo Mwanza. Mzee nenda City Centre upate huduma zoote hapo.
Atakua kutafuta kule ngudu huyu poti
 
oya acha kufananisha kitongoji hicho cha arusha na jiji utachekwa labda umefikia magu ndo unasema mwanza mwanza miaka mitano ijayoitakuwa kama dar
Unasemea Kibiti au Dar???

Kama ni Dar basi wahi matibabu........
 
Back
Top Bottom