kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,226
- 9,489
Acheni kufanikisha arusha na vitu vya hovyo
umeonaee hata waskuma walikubaliNimefanya dhambi mkuu, Chuga noma
Huyo ni tapeli hana hela, japo mimi siyo mwenyeji wa Mwanza lakini siamini kama vitu vidogo kama hivyo havipo ambapo hata kijijini vinapatikana.MfalmewaKiha
Maduka yapo ya hivyo vifaa ila ugeni wako umekufanya umerefusha mkono kuandika upuuvi, nijuavyo kuna wafanyabiashara wa Mwanza wanaenda directly kuchukua bidhaa moja kwa moja ugaibuni na maduka ya hivo vifaa yapo sana mitaa ya kati.
Ungekwenda na mwenyeji au kuiiza Google Search ingekuelekeza.
kuzunguka kote huko kumbe shida yako wanaume?!!. hahahaha utandawazi umekuvuruga wewe. tabia hizo chafu huwezi kuzikuta mwanzaKuna bora kanipoteza, eti mwanza mtaa wa Rwagasore eti Equipment hzo zipo kibao, shida yangu haikua Camera tu, hapana kuna vitu kibao nilitaka
Wazushi wanadai eti Mwanza wanachukulia vitu Uganda lakini pia eti wanauza bei nafuu, kumbe hakuna lolote
Wanaume wa Dar nakuja huko pia
Yy Kasema Ukweli! Usitake Kusifia Kisichokuwa Na Sifa Stahiki Hata Kama Ni Chakwenu Huo Ni Unafiki. Anyway Ninachojuwa "kiha"(waha) Ni Watu Frm Kigoma, So Bado Kwa Mantiki Yako Asingesifia Mwanza Bali Angesifia Kigoma!. Tatizo La Mwanza Ni Maendeleo Madogo Kiuchumi,kielimu,kibiashara,kiutalii Japo Watu Ni Wengi Ukilinganisha Na Arusha. Inaonekana Mzunguko Wa Pesa Ni Mdogo, Fursa Ni Chache,rasilimali Watu Ni Kubwa Lkn Uchumi Wao Ni Mdogo. Eneo Ni Kubwa Lkn Uzalishaji Bado Upo Chini,, So Kuwa Na Watu Wengi Lkn Uchumi Kiduchu Siyo Maendeleo. Wasomi,wanamichezo,wasanii Pamoja Na Wanasiasa Wakubwa Ni Wa Kuhesabu Ukilinganisha Na Idadi Ya Watu Wa Ukanda Huo."Mfalme wa Kiha" halaf unasifia Arusha, kuna kitu hakipo sawa mahali.
wewe nawe usitufanye kana hatujasoma. unaposYy Kasema Ukweli! Usitake Kusifia Kisichokuwa Na Sifa Stahiki Hata Kama Ni Chakwenu Huo Ni Unafiki. Anyway Ninachojuwa "kiha"(waha) Ni Watu Frm Kigoma, So Bado Kwa Mantiki Yako Asingesifia Mwanza Bali Angesifia Kigoma!. Tatizo La Mwanza Ni Maendeleo Madogo Kiuchumi,kielimu,kibiashara,kiutalii Japo Watu Ni Wengi Ukilinganisha Na Arusha. Inaonekana Mzunguko Wa Pesa Ni Mdogo, Fursa Ni Chache,rasilimali Watu Ni Kubwa Lkn Uchumi Wao Ni Mdogo. Eneo Ni Kubwa Lkn Uzalishaji Bado Upo Chini,, So Kuwa Na Watu Wengi Lkn Uchumi Kiduchu Siyo Maendeleo. Wasomi,wanamichezo,wasanii Pamoja Na Wanasiasa Wakubwa Ni Wa Kuhesabu Ukilinganisha Na Idadi Ya Watu Wa Ukanda Huo.
wewe jamaa acha uongo. nenda kasome upya factors zinazochangia ongezeko la watu ktk miji. nikukumbushe tu mojawapo ni huduma nzuri za kijamii, mzunguko mzuri wa hela n.k. unaposema mwanza haina mzunguko wa hela sijui kichwa chako unakishughulisha kweli ama umeandika bila kufikiria. halafu then huwezi kuongea facts za maana kama haujawahi kuishi ktk majiji yote mawili.Yy Kasema Ukweli! Usitake Kusifia Kisichokuwa Na Sifa Stahiki Hata Kama Ni Chakwenu Huo Ni Unafiki. Anyway Ninachojuwa "kiha"(waha) Ni Watu Frm Kigoma, So Bado Kwa Mantiki Yako Asingesifia Mwanza Bali Angesifia Kigoma!. Tatizo La Mwanza Ni Maendeleo Madogo Kiuchumi,kielimu,kibiashara,kiutalii Japo Watu Ni Wengi Ukilinganisha Na Arusha. Inaonekana Mzunguko Wa Pesa Ni Mdogo, Fursa Ni Chache,rasilimali Watu Ni Kubwa Lkn Uchumi Wao Ni Mdogo. Eneo Ni Kubwa Lkn Uzalishaji Bado Upo Chini,, So Kuwa Na Watu Wengi Lkn Uchumi Kiduchu Siyo Maendeleo. Wasomi,wanamichezo,wasanii Pamoja Na Wanasiasa Wakubwa Ni Wa Kuhesabu Ukilinganisha Na Idadi Ya Watu Wa Ukanda Huo.