Mwanza City: The Photo Gallery

mitaa yako ya uswazi tu
Kwa sasa nipo huku igelegele nikirudi nyasaka mtapata picha za kishua, kesho nikipata mda nitaenda mahina mwananchi hadi kakebe tatizo la uku wahuni wengi sana milimani wakiona simu ninayotumia dauuh

Kama hizo picha za mkuyuni ilinipasa nipande milima kwa juu kabisa ili nipate kichupa cha moto
 
Noma sana .big up bro..tuna appreciate Kwa chochote utakachotupa ...pamoja sana kaka .
 
Kwa sasa nipo huku igelegele nikirudi nyasaka mtapata picha za kishua, kesho nikipata mda nitaenda mahina mwananchi hadi kakebe tatizo la uku wahuni wengi sana milimani wakiona simu ninayotumia dauuh

Kama hizo picha za mkuyuni ilinipasa nipande milima kwa juu kabisa ili nipate kichupa cha moto
Ulikuwa mtaa wa amani kilima Cha butimba karibu na shule ya msingi bila shaka.
 
Nyamhongolo sasa hv pale maeneo karibu na stand watu wanajenga san ghorofa za floor 3 yan pale baada ya mwaka na ile Lami ya buswelu ikiisha patakuwa balaa
 
Nilipita makoroboi juzi ..wamachinga wamerudi ... makoroboi sa hv ni kama zamani....Yale masoko ya malamala, buhongwa dampo ,ni uchafu ....
Serikali hii haijawahi kuwa serious kabisa..maamuzi ya kisiasa yanaenda kuathiri shughuli za kiuchumi... kwanni lile eneo la makoroboi wasingejenga pale machinga complex ,,na kuachana na masuala ya igogo au buhongwa ambako machinga hawataki...siku hyo machinga complex ikikosa wapangaji watamlaumu nani ..
Screenshot_20221209-212642.jpg
 
Nimepita baadhi ya miradi ya serikali hasa miradi ya kimkakati
Stendi ya malori kahama ,dodoma na nyamhongolo
Stendi ya mabus dodoma na nyamhongolo ,mbezi
Masoko ndugai,magomeni ,kisutu

Sijui kwanini wawekezaji wengi hawavutiwi kupanga kwenye hii miradi ..Kuna haja kubwa ya halmashauri kuwa wataalamu wa investment analysis ,...ningeshauri miradi ya stendi iache kuweka pesa nyingi kujenga majengo ya kibiashara (commercial complex Kwa kutagert benki, supermarket) ...badala yake kwenye hizo complex waweke facilities za wafanya biashara wadogo watakaolipa ushuru .ni Bora upate shilling 2000 Kwa siku Kwa wafanya biashara wadogo 500 kuliko kukaa na jengo mwaka mzima halina wapangaji ..
 
Mwanza city,ni mji mzuri Tanzania nzima kuanzia madhari,na pia ni jiji lenye Magorofa mengi zaidi ktk ya CBD ukitoa Dsm,,lakini jiji hili linarudishwa nyuma na serikali yetu kwa kukosa miundo mbinu bora ya barabara nzuri, ,hasa za kuingia na kutoka. ndani ya jiji, yaani ni zero kbsaa,,siku Kinyata road na nyerere roads zkpgwa four ways,na barabara ya kigongo ferry to usagara ,four ways ,jiji litakua la Moto Sanaa ,Nimefanya research ya nchi nzima,miji yote Tanzania,yenye barabara nzuri ni Dsm na Dodoma to kwingne kote ni hovyo tu ,ila mwanza tukipata hzo barabara hzo tatu patakua pamoto Sanaa,,
 
Back
Top Bottom