Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Jitaidi mkuu upige picha ata machinga complex ndio uondoke, cha kufanya amka asubuhi sana uende hapo mchafu koge kamanda then mida unapanda basi kutimkia kahama![]()

...nimepaona tu Kwa mbali. Ujenzi unaendelea...hata Mimi nilitamani nifanye hvyo...ila majukumu yananilazimu saa Tano niwe nimefika kahama ...Kwa mwendo wa frester natakiwa saa 1 niwe stendi.... nitarudi February.inshalaah update zitapatikana tu ..


