Sorcerer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,694
- 2,482
Kwa sasa nipo huku igelegelemitaa yako ya uswazi tu
![]()
nikirudi nyasaka mtapata picha za kishua, kesho nikipata mda nitaenda mahina mwananchi hadi kakebe tatizo la uku wahuni wengi sana milimani
wakiona simu ninayotumia dauuh Kama hizo picha za mkuyuni ilinipasa nipande milima kwa juu kabisa ili nipate kichupa cha moto


