Wawalipe watu fidia wachoronge keep leftView attachment 2402907
View attachment 2402908
Kuna ajali imetokea maeneo ya nyakato sokoni asubhi , ikihusisha Magari matano , nafkr tatizo ni matumizi ya taa za barabarani zilizowekewa pale junction ya kuchepukia kwenda meco , na Ile inayounganisha kwenda buzuruga
Yeah ..hii sawa kabisa ..Mwanza ina population ya 3.6m ina maana kwa wastani kila wilaya ina watu laki 4 na 50 it means jiji la mwanza limeshafika population ya over 1 million
Nilitegemea Dar atakuwa na Milion 6+ kutokana na makadirio ya watu na vyanzo mbalimbali. Naona siku za mbele miaka 20 ijayo Dar inaweza kupitwa na baadhi ya mikoaKanda ya ziwa ,,,,,
1 mwanza 2 Kagera 3 geita 4 Mara 5 shinyanga 6 simiyu .....
Nb tabora inabidi waikate sasa mkoa umekuwa mkubwa sana na watu wengi View attachment 2403257
Sent using Jamii Forums mobile app
hicho ni cha meb ana hamishwa kutoka nyakato, na ameamua kujenga hapo nyanguge ni hatari sana huyo jamaa kwa pesa na hile hotel yake ya capri height ikikamilika itakuwa 💥💥💥🔥🔥Nipo naelekea magu aisee mbele ya ihayabuyaga kuna bonge la kiwanda kinajengwa cha nyakato steel aisee kiwanda kikubwa sana
Dar ,,,,,,,ishaanza kuchoka ..inaonekana imekaribia kufika climaxNilitegemea Dar atakuwa na Milion 6+ kutokana na makadirio ya watu na vyanzo mbalimbali. Naona siku za mbele miaka 20 ijayo Dar inaweza kupitwa na baadhi ya mikoa
Bandari ya Yanga, Mtwara, Bagamoyo ziwaka Dar imekwishaDar ,,,,,,,ishaanza kuchoka ..inaonekana imekaribia kufika climax
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Airport ya mza ikianza na Dom zitapunguza mapato ya darBandari ya Yanga, Mtwara, Bagamoyo ziwaka Dar imekwisha
Serikali ya sasa hivi ahadi zimekuwa nyingi, utekelezaji zero
Hizi pesa angepata marehemu ingekuwa balaa, njia nne mwanza zingekuwa zimeanza ujenzi
au kuna manufaa yoyote kwenye mamikopo hayo kwa mkoa wetu wa Mwanza?
Home kabisa huku,nimesoma Tumaini primary paleView attachment 2377715
Naona mpango wa kuionganisha Kabuhoro na Kitangiri kwa lami kupitia Ibanda unatimia. Nakumbuka zamani ukitaka kwenda town lazima ushuke Polisi Kirumba kupata Daladala, sasa hivi hata ukiwa Ibanda unapata usafiri pamoja na changamoto ya barabara iliyokuwepo. Hiki kipande kinatakiwa kikaungane na barabara ya Mwaloni au Kanisa la Anglican Kirumba