Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

1867b0e0aa740d767b8c6f4b81a6df66.jpg

Status ya mwezi wa kumi ya ujenzi wa hii hotel, the hadjens karuta street. Kazi ilivyokuwa inaendelea ni elevator installation.
 
Daa Mwanza siku zote inakuwa tamu tamu tena sana! Hiki chuo gani wadau? Mwanza kaishi kokote iwe misungwi au sengerema mambo brubru!
Mc wish college, chuo Cha afya diploma ya clinical medicine na pharmacy
 
Naomba kujua kama Kuna possibilities ya kupata record ya huu mjadala
Nbs wamesema mwanza Ina watu 3.7 milion ..
Mkuu wa mkoa kasema 4 milioni..
Hata Kwa kuround ...si ni lazima iwe 3.9 ndo ukadirie
20221106_195523.jpg
20221106_195441.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarehe 31/10 walisema ndo itakuwa siku ya kumkabidhi mkandarasi stand ya nyegezi cha kushangaza leo tarehe 7 stand bado haijakabidhiwa
 
Back
Top Bottom