Nitafurahi sana siku NHC wakija na Project kama hizi pale kwenye milima ya Igogo na Bugarika.Santorini.greece ... viongozi wetu hawaendi kujifunza bas hata smartphone zao haziwasaidii kuona haya..
NHC ,TBA,CITY COUNCIL.walikuwa na uwezo wa kuingia hata ubia na private sector wakajenga apartment kama hzi kwenye milima yote iliyopo city center..na apartment zote zingepata wapangaji ...
View attachment 2380027View attachment 2380028View attachment 2380029
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unayajuaje haya, mengine ya ndani sana mkuu🤣🤣Mwaka 2026 mwanzon mirad ifuatato itakuwa imeisha
1.meli ya mv mwanza
2.daraja la kigongo busisi
3.soko kuu la mjini Kati
4.soko kuu la samaki mswahili
5.soko kuu la kirumba
6.barabara ya Buhongwa Hadi igoma
7.barabara ya buswelu nyamhongolo
8.barabara ya mkuyuni mahina
9.reli ya kisasa mwanza isaka
10.machinga complex mchafukuoga
Miradi ambayo itakuwa kwenye utekelezaji
1.barabara ya njia nne mwanza mjini to mwanangwa
2.barabara ya airport to nyanguge
3.ujenzi wa dry port pale fela
4.ujenzi wa barabara njia nne mwanza mjini Hadi nyanguge
5.extension ya mradi wa maji butimba phase 2
6.baadhi ya ujenzi wa magorofa ya nhc pamoja na mashirika mengine ya umma kama NSSF
7.jengo kubwa la kitega uchumi buzuruga
8.kuundwa kwa manispaa ya kisesa na ujenzi wa ofisi za umma kwenye manispaa hiyo
Hao nhc huwa hawana urafiki na Mwanza hizo miradi za NHC sizan kama zitakuwepo lakini mengine uliyotaja uhakika 75%.Mwaka 2026 mwanzon mirad ifuatato itakuwa imeisha
1.meli ya mv mwanza
2.daraja la kigongo busisi
3.soko kuu la mjini Kati
4.soko kuu la samaki mswahili
5.soko kuu la kirumba
6.barabara ya Buhongwa Hadi igoma
7.barabara ya buswelu nyamhongolo
8.barabara ya mkuyuni mahina
9.reli ya kisasa mwanza isaka
10.machinga complex mchafukuoga
Miradi ambayo itakuwa kwenye utekelezaji
1.barabara ya njia nne mwanza mjini to mwanangwa
2.barabara ya airport to nyanguge
3.ujenzi wa dry port pale fela
4.ujenzi wa barabara njia nne mwanza mjini Hadi nyanguge
5.extension ya mradi wa maji butimba phase 2
6.baadhi ya ujenzi wa magorofa ya nhc pamoja na mashirika mengine ya umma kama NSSF
7.jengo kubwa la kitega uchumi buzuruga
8.kuundwa kwa manispaa ya kisesa na ujenzi wa ofisi za umma kwenye manispaa hiyo
Huyu kamanda yupo kwenye kitengo😄😄😄Unayajuaje haya, mengine ya ndani sana mkuu🤣🤣
Hakika mkuu🙏🙏🙏Siku ya kesho ndo itafanya haya mambo yawezekane pale kwny uwanja wa jamhuri Dodoma😄😄😄
Hakika!View attachment 2401967uzi wetu unawatazamaji wengi bhana .
Mradi wa Tampere parkMwaka 2026 mwanzon mirad ifuatato itakuwa imeisha
1.meli ya mv mwanza
2.daraja la kigongo busisi
3.soko kuu la mjini Kati
4.soko kuu la samaki mswahili
5.soko kuu la kirumba
6.barabara ya Buhongwa Hadi igoma
7.barabara ya buswelu nyamhongolo
8.barabara ya mkuyuni mahina
9.reli ya kisasa mwanza isaka
10.machinga complex mchafukuoga
Miradi ambayo itakuwa kwenye utekelezaji
1.barabara ya njia nne mwanza mjini to mwanangwa
2.barabara ya airport to nyanguge
3.ujenzi wa dry port pale fela
4.ujenzi wa barabara njia nne mwanza mjini Hadi nyanguge
5.extension ya mradi wa maji butimba phase 2
6.baadhi ya ujenzi wa magorofa ya nhc pamoja na mashirika mengine ya umma kama NSSF
7.jengo kubwa la kitega uchumi buzuruga
8.kuundwa kwa manispaa ya kisesa na ujenzi wa ofisi za umma kwenye manispaa hiyo
Hv hakuna mwenye mchoro wa Tampere parkMradi wa Tampere park
Growth rate ya population ni 5.3% annually...ukipiga Kwa miaka kumi Toka 2012 ,,idadi ya watu walioongezeka Ni kama 400000 ...ukichukua laki nne ukaplus laki 7 .. utapata milion 1.1 .hyo ndio population ya mwanza nowSiku ya kesho ndo itafanya haya mambo yawezekane pale kwny uwanja wa jamhuri Dodoma
Kwa taratibu na vigezo vya kugawa hadhi ya jiji .. Arusha ilitakiwa kuwa jiji kuanzia mwaka 2021 .... kigezo Cha idadi ya watu laki 5Watani zetu arusha... growth rate ya population... imeendelea kuwa low ... Kuanzia mwaka 2004 ,wanatembea na 2 % ....Kwa makadirio ya UN . population Yao kesho ni hiiView attachment 2402601
Sent using Jamii Forums mobile app