Mwanza City: The Photo Gallery

Ni zuri sana aisee hapohapo mchafukuoga kuna mchoro wake mzima soko litakavyokuwa baada ya kuisha ni tamu balaa
 
Nyegezi majengo Huwa hampataji sana
View attachment 2401438
Tatizo huko majengo ni sehemu ya watu wenye uwezo sana, nilienda kuulizia kiwanja vha 20*20 nikaambiwa 45milioni nikasema huku si size yangu lakini haya maeneo wamejenga sana na huku ndio anaishi mbunge wetu mh Stanslaus Mabula na mbunge wa Bunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ