Kata ni ya Kirumba, ila mtaa ni Ibanda, ukitoka Kabuhoro, Unakutana na Songambele, ndio Ibanda. Wengi tukiwa Mwanza mjini tunaiona Kirumba Mlimani, sasa upande wa pili wa mlima ndio Ibanda yenyewe inaangaliana na ziwa

Japo picha haiko vizuri ila kuna ghorofa linanyanyuka hapo mitaa ya nera kwenye mataa upande wa kushoto kama unaenda mjini ukitoka pale mashineni unavuka nyumba moja tu naona wamejenga mpaka daraja kubwa kuvuka mtaro
picha ingekuwa ni ya mchana tungeweza kutambua leo itabidi nikachungulie na mimi kuosha macho.
pia pale kwenye mradi wa soko kuu la kirumba naona wameanza kuchimba machimo sijui ni ya nini wakati hawajaweka uzio kuzungushia eneo la mradi.
mbona kwenye hizi picha sioni uzio wa mradi sijaona substructure ya mradi, bango la maelezo na mradi kama vile upo wazi.
Mimi naona labda mradi wenyewe ni huo ujenzi wa daraja la kuvukia.