intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 706
- 1,126
Sema wamelijenga uswahilini sana ..igogo kule sio kabisaSoko la machinga mchafukuoga likiisha aisee litakuwa mkombozi kwq machinga jiji la mwanza pale kwny bango la mkandarasi kuna michoro nilitaka niipige picha sema yale maeneo Yana watu wengi sana walikuwa wananikodolea macho nimelipima urefu wake ni kama mita 185 na upana ni mita kama 140
Jifunze kutokuogopa wala kuona noma we kesho ukipata muda nenda utupie picha humu.Soko la machinga mchafukuoga likiisha aisee litakuwa mkombozi kwq machinga jiji la mwanza pale kwny bango la mkandarasi kuna michoro nilitaka niipige picha sema yale maeneo Yana watu wengi sana walikuwa wananikodolea macho nimelipima urefu wake ni kama mita 185 na upana ni mita kama 140
Wamelenga wateja na huko kuna watu wengi wa bugarika, igogo, mahina na wanafunzi wa chuo cha bugando pamoja na mkuyuni.Sema wamelijenga uswahilini sana ..igogo kule sio kabisa
Mzee pale kuna dada mmoja anaduka nilikuwa nakunywa soda nikamchukua maelezo amesema wameambiwa wahame hapo wanataka kuvunja kujenga stand ya Hiace na soko likiisha coaster zote zitakuwa zinapitia ile barabara ya mchafukuogaSema wamelijenga uswahilini sana ..igogo kule sio kabisa
Unawaambia umependa picha unaomba kupigaSoko la machinga mchafukuoga likiisha aisee litakuwa mkombozi kwq machinga jiji la mwanza pale kwny bango la mkandarasi kuna michoro nilitaka niipige picha sema yale maeneo Yana watu wengi sana walikuwa wananikodolea macho nimelipima urefu wake ni kama mita 185 na upana ni mita kama 140
Ndio vizuri uswahili unapunguaSema wamelijenga uswahilini sana ..igogo kule sio kabisa
We mbona ,,,uliogopa kupiga picha capripointJifunze kutokuogopa wala kuona noma we kesho ukipata muda nenda utupie picha humu.
Wangejenga pale mkuyuni..pangekuwa patamu sana ... mkuyuni Kuna mzunguko wa watu ,,,...imagine Ile barabara ya nyakato ingejengwa plus soko la samaki plus SGR na Hilo soko la machinga ... pangekuwa pazuri sanaWamelenga wateja na huko kuna watu wengi wa bugarika, igogo, mahina na wanafunzi wa chuo cha bugando pamoja na mkuyuni.
Kwa hii picha ....kule kwenye battle hawatapumua ..View attachment 2399845
Capripoint
Idea nzuri sanaWangejenga pale mkuyuni..pangekuwa patamu sana ... mkuyuni Kuna mzunguko wa watu ,,,...imagine Ile barabara ya nyakato ingejengwa plus soko la samaki plus SGR na Hilo soko la machinga ... pangekuwa pazuri sana
Hii picha ukiwa piga nayo wale wa Nyanda za juu utakuwa unawaonea๐คฃ๐คฃ๐คฃKwa hii picha ....kule kwenye battle hawatapumua ..... naombeni msaada wenu ,app yangu inashindwa kusave picha kwenye Simu yangu ,,,,,, nifanyeje,,na sipendi kutumia website
Kiuhalisia Big bite ni jina la kituo cha daladala tu ila hiyo yote ni kilimahewa...Oh ...sawa,,,,sema Ile mitaa inaingiliana sana ..ndo maana Huwa nashindwa kutofautisha
sawa lakini kwenye miji mikubwa lazima kuwepo na mgawanyo wa fursa sio watu wote kurundikana sehemu moja, mkuyuni napo watajengewa soko kubwa sana la samaki na si samaki tu ndizo zitapatikana hapo mkuyuni na biashara nyingine pia, machinga complex maeneo ya mchafukoge kutabadirisha mandhari ya maeneo hayo kuwa ya kisasa kabisa kama ulivyosikia pia kutakuwa na stendi kwa pembeni yake. ๐ ๐Wangejenga pale mkuyuni..pangekuwa patamu sana ... mkuyuni Kuna mzunguko wa watu ,,,...imagine Ile barabara ya nyakato ingejengwa plus soko la samaki plus SGR na Hilo soko la machinga ... pangekuwa pazuri sana
Hakika umeshindikana asee hizi picha unazitolea wapi?????
af mkuyuni machinga complex utaijengea wap kwan mkuyun sehemu kubwa imechukuliwa na reli,viwanda hifadhi ya barabara pale mchafukuoga ni pazuri sana aiseesawa lakini kwenye miji mikubwa lazima kuwepo na mgawanyo wa fursa sio watu wote kurundikana sehemu moja, mkuyuni napo watajengewa soko kubwa sana la samaki na si samaki tu ndizo zitapatikana hapo mkuyuni na biashara nyingine pia, machinga complex maeneo ya mchafukoge kutabadirisha mandhari ya maeneo hayo kuwa ya kisasa kabisa kama ulivyosikia pia kutakuwa na stendi kwa pembeni yake. ๐ ๐
Natoa kwenye mitandao ya kijamii, ila ni kwa utaalamu wa hali ya juu sana huwezi zipata sehemu yoyoteHakika umeshindikana asee hizi picha unazitolea wapi?????