Mwanza City: The Photo Gallery

Nakukubali sana bingwa, ukipata muda tembelea pale nyasaka wanajenga min mall kubwa sana ipige picha mkuu, pia na maeneo mengineyo na miradi kama ya machinga complex huko mchafukoge igogo[emoji120][emoji120]
Nyasaka maeneo gani? Mie Nyasaka nyamuge ndio maskani
 
Kwa wanaotumia app ..nifanyeje ili picha zijisevu kwenye gallery?
 
Karibu na maduka tisa kuna project kubwa sana hapo ya ghorofa la min mall itupie humu nilipitaga kitambo sana.
Kuna tofauti kati ya kiloleli ,maduka tisa ,na big bite? ,..mi sio mwenyeji sana maeneo yale
 
Kuna tofauti kati ya kiloleli ,maduka tisa ,na big bite? ,..mi sio mwenyeji sana maeneo yale
Kiloleli ni kata inayopakana na nyasaka, lumala na pasiansi pia ni jirani na mtaa wa kilimahewa na big bite, big bite uliokaribiana na mtaa wa kilimahewa zote zipo kata ya nyamanoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…