N Ngokongosha JF-Expert Member Joined Feb 9, 2011 Posts 3,400 Reaction score 7,610 Oct 27, 2022 #5,501 Cha asubuhi said: Nimerudi jijini... kumbe washaanza kuweka taa wameanzia airport hadi iloganzara View attachment 2399582 Click to expand... Safi sana, kumependeza
Cha asubuhi said: Nimerudi jijini... kumbe washaanza kuweka taa wameanzia airport hadi iloganzara View attachment 2399582 Click to expand... Safi sana, kumependeza
Kitombile JF-Expert Member Joined Mar 21, 2021 Posts 7,150 Reaction score 7,971 Oct 27, 2022 #5,502 Cha asubuhi said: Nimerudi jijini... kumbe washaanza kuweka taa wameanzia airport hadi iloganzara View attachment 2399582 Click to expand... nazani mzee wa maphoto umerudi sasa fanya kutembelea miradi ya jiji na maeneo mbalimbli utupe mirejesho kwa njia ya picha🙏🙏
Cha asubuhi said: Nimerudi jijini... kumbe washaanza kuweka taa wameanzia airport hadi iloganzara View attachment 2399582 Click to expand... nazani mzee wa maphoto umerudi sasa fanya kutembelea miradi ya jiji na maeneo mbalimbli utupe mirejesho kwa njia ya picha🙏🙏
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Oct 27, 2022 #5,503 Cha asubuhi said: Nimerudi jijini... kumbe washaanza kuweka taa wameanzia airport hadi iloganzara View attachment 2399582 Click to expand... HIV iloganzala na lumala ni maeneo tofauti? Au pale pale
Cha asubuhi said: Nimerudi jijini... kumbe washaanza kuweka taa wameanzia airport hadi iloganzara View attachment 2399582 Click to expand... HIV iloganzala na lumala ni maeneo tofauti? Au pale pale
I intelligent man JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 706 Reaction score 1,126 Oct 27, 2022 #5,504 Kitombile said: sasa wamefikia hatua gani za ujenzi ili nikifika nipige picha ya mnyato. Click to expand... Ujenz upo vzur sana kwa Kasi Sana pale watajenga na stand ya Hiace nzur sana
Kitombile said: sasa wamefikia hatua gani za ujenzi ili nikifika nipige picha ya mnyato. Click to expand... Ujenz upo vzur sana kwa Kasi Sana pale watajenga na stand ya Hiace nzur sana
Vege JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 338 Reaction score 365 Oct 27, 2022 #5,505 Cha asubuhi said: Nimerudi jijini... kumbe washaanza kuweka taa wameanzia airport hadi iloganzara View attachment 2399582 Click to expand... Hapo wametisha sanaa
Cha asubuhi said: Nimerudi jijini... kumbe washaanza kuweka taa wameanzia airport hadi iloganzara View attachment 2399582 Click to expand... Hapo wametisha sanaa
Vege JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 338 Reaction score 365 Oct 27, 2022 #5,506 Mikdde said: HIV iloganzala na lumala ni maeneo tofauti? Au pale pale Click to expand... Ni tofauti ,lumala ni ile junction ya barabara inayokutana na nyasaka Huku ilongazala ni baada ya mataa ya pansiansi kuelekea 7/7
Mikdde said: HIV iloganzala na lumala ni maeneo tofauti? Au pale pale Click to expand... Ni tofauti ,lumala ni ile junction ya barabara inayokutana na nyasaka Huku ilongazala ni baada ya mataa ya pansiansi kuelekea 7/7
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Oct 27, 2022 #5,507 Vege said: Ni tofauti ,lumala ni ile junction ya barabara inayokutana na nyasaka Huku ilongazala ni baada ya mataa ya pansiansi kuelekea 7/7 Click to expand... Aisee ..pale redio free ni ilemela au iloganzala.maana mm najuaga baada ya pasiansi ni sabasaba ilemela then ilemela kanisani
Vege said: Ni tofauti ,lumala ni ile junction ya barabara inayokutana na nyasaka Huku ilongazala ni baada ya mataa ya pansiansi kuelekea 7/7 Click to expand... Aisee ..pale redio free ni ilemela au iloganzala.maana mm najuaga baada ya pasiansi ni sabasaba ilemela then ilemela kanisani
Vege JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 338 Reaction score 365 Oct 27, 2022 #5,508 Mikdde said: Aisee ..pale redio free ni ilemela au iloganzala.maana mm najuaga baada ya pasiansi ni sabasaba ilemela then ilemela kanisani Click to expand... Hapo radio free huwa ni ilemela, inaanza pansians then ilongazala pale shuleni kwenye taa za wenda kwa miguu then inafata sabasaba, ilemela, afu kanisani nk
Mikdde said: Aisee ..pale redio free ni ilemela au iloganzala.maana mm najuaga baada ya pasiansi ni sabasaba ilemela then ilemela kanisani Click to expand... Hapo radio free huwa ni ilemela, inaanza pansians then ilongazala pale shuleni kwenye taa za wenda kwa miguu then inafata sabasaba, ilemela, afu kanisani nk
N Ngokongosha JF-Expert Member Joined Feb 9, 2011 Posts 3,400 Reaction score 7,610 Oct 27, 2022 #5,509
Kitombile JF-Expert Member Joined Mar 21, 2021 Posts 7,150 Reaction score 7,971 Oct 27, 2022 #5,510 intelligent man said: Ujenz upo vzur sana kwa Kasi Sana pale watajenga na stand ya Hiace nzur sana Click to expand... Haya ndio mambo ya msingi.
intelligent man said: Ujenz upo vzur sana kwa Kasi Sana pale watajenga na stand ya Hiace nzur sana Click to expand... Haya ndio mambo ya msingi.
N Ngokongosha JF-Expert Member Joined Feb 9, 2011 Posts 3,400 Reaction score 7,610 Oct 27, 2022 #5,511
Kitombile JF-Expert Member Joined Mar 21, 2021 Posts 7,150 Reaction score 7,971 Oct 27, 2022 #5,512 Ni maeneo tofauti sana, lumala imepakana na kiseke na pasiansi, lakini iloganzala imepakana na sabasaba na pasiansi ipo katikati. Mikdde said: HIV iloganzala na lumala ni maeneo tofauti? Au pale pale Click to expand...
Ni maeneo tofauti sana, lumala imepakana na kiseke na pasiansi, lakini iloganzala imepakana na sabasaba na pasiansi ipo katikati. Mikdde said: HIV iloganzala na lumala ni maeneo tofauti? Au pale pale Click to expand...
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Oct 27, 2022 #5,513 Kitombile said: Ni maeneo tofauti sana, lumala imepakana na kiseke na pasiansi, lakini iloganzala imepakana na sabasaba na pasiansi ipo katikati. Click to expand... Lumala ndo nasikia Kuna nyumba Kali wilaya yote ya ilemela
Kitombile said: Ni maeneo tofauti sana, lumala imepakana na kiseke na pasiansi, lakini iloganzala imepakana na sabasaba na pasiansi ipo katikati. Click to expand... Lumala ndo nasikia Kuna nyumba Kali wilaya yote ya ilemela
Mapank JF-Expert Member Joined Mar 8, 2011 Posts 4,157 Reaction score 6,163 Oct 27, 2022 #5,514 Il Mikdde said: Lumala ndo nasikia Kuna nyumba Kali wilaya yote ya ilemela Click to expand... Ilemela yenyewe, inakuja Bwiru na Nyasaka. Lumala kwa kawaida sana
Il Mikdde said: Lumala ndo nasikia Kuna nyumba Kali wilaya yote ya ilemela Click to expand... Ilemela yenyewe, inakuja Bwiru na Nyasaka. Lumala kwa kawaida sana
Kitombile JF-Expert Member Joined Mar 21, 2021 Posts 7,150 Reaction score 7,971 Oct 27, 2022 #5,515 Mikdde said: Lumala ndo nasikia Kuna nyumba Kali wilaya yote ya ilemela Click to expand... Lumala, nyasaka na bwiru ni hatari na panatisha kwa majumba na hali ya hewa bora kabisaa.
Mikdde said: Lumala ndo nasikia Kuna nyumba Kali wilaya yote ya ilemela Click to expand... Lumala, nyasaka na bwiru ni hatari na panatisha kwa majumba na hali ya hewa bora kabisaa.
Kitombile JF-Expert Member Joined Mar 21, 2021 Posts 7,150 Reaction score 7,971 Oct 27, 2022 #5,516 Mapank said: Il Ilemela yenyewe, inakuja Bwiru na Nyasaka. Lumala kwa kawaida sana Click to expand... Lumala sio ya kawaida mkuu, pakawaida ni nyamhogolo, buswelu n.k
Mapank said: Il Ilemela yenyewe, inakuja Bwiru na Nyasaka. Lumala kwa kawaida sana Click to expand... Lumala sio ya kawaida mkuu, pakawaida ni nyamhogolo, buswelu n.k
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Oct 27, 2022 #5,517 Kitombile said: Lumala, nyasaka na bwiru ni hatari na panatisha kwa majumba na hali ya hewa bora kabisaa. Click to expand... Sisi wa bungulwa kwimba tucoment wap
Kitombile said: Lumala, nyasaka na bwiru ni hatari na panatisha kwa majumba na hali ya hewa bora kabisaa. Click to expand... Sisi wa bungulwa kwimba tucoment wap
N Ngokongosha JF-Expert Member Joined Feb 9, 2011 Posts 3,400 Reaction score 7,610 Oct 27, 2022 #5,518
Kitombile JF-Expert Member Joined Mar 21, 2021 Posts 7,150 Reaction score 7,971 Oct 27, 2022 #5,519 Ngokongosha said: View attachment 2399758 Click to expand... Safi sana hii view, tungepata majengo mengine ya aina hii hata floor 20+ hili jiji lingevutia zaid ya hapa.
Ngokongosha said: View attachment 2399758 Click to expand... Safi sana hii view, tungepata majengo mengine ya aina hii hata floor 20+ hili jiji lingevutia zaid ya hapa.
Sorcerer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2017 Posts 1,694 Reaction score 2,482 Oct 27, 2022 #5,520 Kitombile said: nazani mzee wa maphoto umerudi sasa fanya kutembelea miradi ya jiji na maeneo mbalimbli utupe mirejesho kwa njia ya picha Click to expand... Msiwaze nishatia team
Kitombile said: nazani mzee wa maphoto umerudi sasa fanya kutembelea miradi ya jiji na maeneo mbalimbli utupe mirejesho kwa njia ya picha Click to expand... Msiwaze nishatia team