mradi wa kanisa la kawekamo unaendelea vzur sana na tarehe 5/11/2022 kutakuwa na changizo kubwa sana kwa ajili ya kumalizia nilimsikia askofu nkwande anasema kanisa litagharimu bilion 8
Hilimradi wa kanisa la kawekamo unaendelea vzur sana na tarehe 5/11/2022 kutakuwa na changizo kubwa sana kwa ajili ya kumalizia nilimsikia askofu nkwande anasema kanisa litagharimu bilion 8
Huu mrad wa green city kwa majiji ya mwanza kama upo serious Sana jamaa watatoa euro milion 75 kwa ajili ya majiji 3 mwanza,tanga na pemba lengo ni kuboresha miundombinu pamoja na masoko sasa sijajua kwa exchange rate euro 75m ni sawa na bn ngp

Tampere park ndio habari ya mji, kisha wapange mji wa mabatini ata kwa kujenga magorofa makubwa matano kwa bilioni 20 then pesa zitakazobaki, wapige barabara za kuunganisha kila kata.