Taarifa ipo sahihi hii ata masanja alishasema kandarasi wanapewa waturuki.Lete source ya serikali, hii ni mawazo ya mwandishi tu, ndio maana kaandika phase 5 iko kwenye procurement stage, hii inaonyesha hajui lolote.
Mi sina hiyo access, nimeleta kile nilichokutana nacho kama unaona hakiko sawa unaleza kuleta taarifa yako...Lete source ya serikali, hii ni mawazo ya mwandishi tu, ndio maana kaandika phase 5 iko kwenye procurement stage, hii inaonyesha hajui lolote.
Watu wamekalili ili taarifa iwe halali lazima itolewe na serikali sie wengine hatuna hizo connection tunatuma juhudi binafsi kupata hizo taarifa...Taarifa ipo sahihi hii ata masanja alishasema kandarasi wanapewa waturuki.
Kaka Tabora kigoma hajapewa mkandarasi bado.Watu wamekalili ili taarifa iwe halali lazima itolewe na serikali sie wengine hatuna hizo connection tunatuma juhudi binafsi kupata hizo taarifa...
Yupo sahihi inaanzia mkuyuni, lakini napenda kuulza huu ujenzi wa barabara utaanza lini?Nimesikiliza hii clip kumbe intelligent alitudanganya kusema njia nne zinaanzia mkuyuni.
Hapa waziri alikuwa anataja maeneo barabara inapita ndio akasema, Mwanza, mkuyuni, nyegezi, Mkolani, buhongwa nyashishi, usagara hadi mwanangwa
Kama umeelewa barabara inaanzia mkuyuni utashindwa kuelewa ujenzi unaanza lini? 🤣Yupo sahihi inaanzia mkuyuni, lakini napenda kuulza huu ujenzi wa barabara utaanza lini?
Kuhusu ujenzi kuanza naona ni siasa tu ndio nyingi, ndio maana nikataka kujua uhakika wa ujenzi ni lini kwa anayejua.Kama umeelewa barabara inaanzia mkuyuni utashindwa kuelewa ujenzi unaanza lini? 🤣
Ratiba za ujenzi zinahusiana sana na kukamilika kwa Daraja la Busisi.Kuhusu ujenzi kuanza naona ni siasa tu ndio nyingi, ndio maana nikataka kujua uhakika wa ujenzi ni lini kwa anayejua.
Tulichokua tunazungumzia nafkri ilikua ni reli ya kati bro kwahiyo kwenye hiyo link mi nilituma ili ujue wakandarasi waliopewa hivyo vipande vya reli ya kati...Kaka Tabora kigoma hajapewa mkandarasi bado.
Rejea swali languTulichokua tunazungumzia nafkri ilikua ni reli ya kati bro kwahiyo kwenye hiyo link mi nilituma ili ujue wakandarasi waliopewa hivyo vipande vya reli ya kati...
Adi 2024 mbona mbali sana, lakini tuwe wavumilivu tuRatiba za ujenzi zinahusiana sana na kukamilika kwa Daraja la Busisi.
Hujanielewa Boss, inatakiwa Daraja likamilike na mradi wa barabara ukiwa kwenye hatua za umaliziaji tu.Adi 2024 mbona mbali sana, lakini tuwe wavumilivu tu
Unamaanisha barabara na daraja vitakamilika kwa wakati mmoja?Hujanielewa Boss, inatakiwa Daraja likamilike na mradi wa barabara ukiwa kwenye hatua za umaliziaji tu.
Inatakiwa hivyo, daraja likikamilika kabla ya barabara ujenzi pia wa barabara utakuwa mgumu na wa gharama sana. Ongezeko la magari litakuwa kubwa. Inawezekana hata njia mpya za Mabasi zikaanzisha, Bariadi - Geita, Bariadi -Bukoba, Shinyanga - Geita, Bado gari za mizigo. Mombasa-Kigali/ CongoUnamaanisha barabara na daraja vitakamilika kwa wakati mmoja?
Private car nazo ndo zitakuwa nyingi sanaInatakiwa hivyo, daraja likikamilika kabla ya barabara ujenzi pia wa barabara utakuwa mgumu na wa gharama sana. Ongezeko la magari litakuwa kubwa. Inawezekana hata njia mpya za Mabasi zikaanzisha, Bariadi - Geitta, Bariadi -Bukoba, Shinyanga - Geita, Bado gari za mizigo. Mombasa-Kigali/ Congo
Daraja linakqmilika 24/2/2024Hujanielewa Boss, inatakiwa Daraja likamilike na mradi wa barabara ukiwa kwenye hatua za umaliziaji tu.
Inawezekana na barabara nimepita jana kuanzia Misungwi kuelekea Hungumalwa kuna wakandarasi siteDaraja linakqmilika 24/2/2024
Wanafanya maintenance ya kawaida tuInawezekana na barabara nimepita jana kuanzia Misungwi kuelekea Hungumalwa kuna wakandarasi site
Hili swala la barabara inabid mbunge mabula the boy alichomekee raisi akija kuzindua standInawezekana na barabara nimepita jana kuanzia Misungwi kuelekea Hungumalwa kuna wakandarasi site