Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Hata hizi stesheni kuwa nzuri ni sababu ya kina Kadogosa na yule jamaa anaitwa masanja, hivi hivi tungepigwa stesheni za ajabu na treni ingekomea FelaBila magufuli kuwa Raisi tungeendelea kuwa na buzuruga na nyegezi ya zaman meli ya mv mwanza isingekuwepo wala kigongo busisi kubwa zaid reli ya sgr isingefika mwanza badala yake ingefika tabora na kuelekea kigoma hata hvy Mwanza kwa ilipofikia usipoyanywa utayaoga ndo influence ya Kanda ya ziwa ukiharibu hapo sumu inatembea maeneo yote
Hii ni NHC ulishawahi sikia hata funnunu tu wanataka kujenga satellite city/town mwanza?NHC , sijawahi ikubali kabisa ,,,sijui kwanini project zao sizielewi ,,walikuwa na mradi wa vijumba vile vyenye rangi ya choma ....
NSSF ndio Huwa wana project Bomba sana
Nilitaka kulisema hili kwamba hapo kwenye viaduct jiji wapige Garden kali, na pia watenge hata bilioni moja wawalipe wale watu wa pale Mlimani au wawajengee maghorofa hapo chini watolewe angalau huu upande unaotizama ziwa kisha wapande miti kama kwa machemba, yaani kutapendeza sana.Bila shaka kadri miaka inavyoenda chuo kitakuja tu, mfano DIT campus ya Mwanza baada ya maboresho lazima wataipandisha hadhi na kuwa chuo kamili kama ilivo DIT,ATC nk.
Kwa upande wa miradi ya kimkakati inayoendelea huu mji nakuhakikishia unakuja kuwa mji mzuri na mkubwa wenye hadhi kubwa upande wote wa nchi za maziwa makuu.
Tatizo la viongoi wetu walio wengi hupenda kufanya mambo katika hali ya kawaida ,mfano kuanzia hapo mkuyuni kama unaingia mjini kupoitia mswahili mpaka kwenye kiwanda cha samaki Vicfish panatakiwa pawe na Gardeni za kisasa kabisa ambazo kingo zake zingenjengelewa kwa mawe na sehemu hiyo inakuwa ni sehemu ya mapumziko huku watu wakipata upepo wa ziwa na kufurahiwa magari yakiingia mjini na hiyo inachagiza vijana kufanya biashara ndogondogo kama ilivyo Cocobeach kwa sasa.
our reader must be innovative kwa sehemu kubwa.
Uwepo wa kadogosa na Yule jamaa Masanja unanipa imani kubwaHakuna kitu kama hicho kaka Kadogosa hawezi kukubali mzee hahaha
Uwepo wa kadogosa na Yule jamaa Masanja unanipa imani kubwa
[/QUOTE president akiamua mda wwte si anampiga chini ๐๐๐
Acha Kuwaza unavyowaza wewe, kwa nini unaita kichekeshoMmesikia hivyo vichekesho daraja la sgr urefu wake litakuwa km 1.4 litaanzia mswahili pale walipoweka mabati Hadi chakechake baada ya hapo litaishia hapo tuta litakuwa la kawaida had station mjn Kati na kuanzia trh 23 wataanza kuchimba mashimo kwa mashine na litakamilika mwakan mwez wa 7
Imagine Sunk Fallacy anakuwa Raisi๐คฃ๐คฃ๐คฃHawa NHC nahisi mkurugenzi wao ndio the sunk.cost fallacy.
Lile daraja lilitakiwa lifike mjini station hata kama wangeanzia voil paleAcha Kuwaza unavyowaza wewe, kwa nini unaita kichekesho
Kuna Lodge hayo maeneo ya siku nyingi ndo ilisababisha paitwe hivo kutokana na umaarufu wa hiyo lodge!Hivi kwa nini mlipaita password huko? ๐คฃ
Ndio maana huwa nahisi wanachuki na hakuna shirika nalochukia kama hili la NHC limejaa ubaguzi sana.Hii ni NHC ulishawahi sikia hata funnunu tu wanataka kujenga satellite city/town mwanza?
Hawa nao kwa nini wakati wanaplan kujenga stendi hawakuwaza hili?Nasikia mabula stanslaus kapeleka proposal kwa pm amfikishie mh Raisi pale nyegez stand kwny soko panatakiwa soko la kisasa la wachuuzi
Nani amekwambia halifiki?Lile daraja lilitakiwa lifike mjini station hata kama wangeanzia voil pale
Kadogosa anaupiga mwingi sana, mungu ambariki asee.Uwepo wa kadogosa na Yule jamaa Masanja unanipa imani kubwa
Huyu mkuda angevunja daraja la busisi na akazuia uchumi wa Mwanza kwa jitihada kubwa, lakini watu kama yeye wenye chuki na mwanza wapo wengi tu ndani ya serikali ya TanzaniaImagine Sunk Fallacy anakuwa Raisi๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Wengi sanaHuyu mkuda angevunja daraja la busisi na akazuia uchumi wa Mwanza kwa jitihada kubwa, lakini watu kama yeye wenye chuki na mwanza wapo wengi tu ndani ya serikali ya Tanzania
Mwaka 2014 kurudi nyuma .... kulikuwa na mpango wa kujenga satellite town .mbili ilikuwepo luchelele na igoma ... mipango iliyeyuka ghafla..ila waliopanga ni MCC sio NHCHii ni NHC ulishawahi sikia hata funnunu tu wanataka kujenga satellite city/town mwanza?
Wew ni pro sukuma ..Hata hizi stesheni kuwa nzuri ni sababu ya kina Kadogosa na yule jamaa anaitwa masanja, hivi hivi tungepigwa stesheni za ajabu na treni ingekomea Fela
Akiwa raisi ,,,,mwanza tunaomba uhuru wetuImagine Sunk Fallacy anakuwa Raisi