Mwanza City: The Photo Gallery

Airport naona waziri kasema tathimin inafanyika waondoke


Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwa ujumla maendeleo yanahusisha wivu kwa sehemu kubwa,Wewe chukulia maendeleo yako binafsi ukishaanza jupiga hatua watu uliokuwa nao usitegemee watakuunga mkoano.
Kwa issue ya Magufli kwa sehemu kubwa imechagizwa na ukabila na mentality ya kuwaona watu wa kanda ya ziwa kuwa ni second claa hususani Wasukuma.Hilo utalibaini ukianagalia kipindi cha utawala wake kuna watu wa ukanda fulani walikuwa wanampinga sana Magufuli lakini cha kushangaza tokea aondoke hakuna kitu kilicho badilika lakini hutawasikia wanakosoa chechote maana hayupo wasiompenda.
Hata ujenzi wa daraja la JPM utawasikia wanapinga sana mara liko kijijini kwa nini serkali ipoteze fedha nyingi kujenga darahja hilo ila hutawasikia wanazungumzia ujenzi wa daraja la mto WAMI ambalo pia mwanzirishi wake ni Magufuli.
 
Bila magufuli kuwa Raisi tungeendelea kuwa na buzuruga na nyegezi ya zaman meli ya mv mwanza isingekuwepo wala kigongo busisi kubwa zaid reli ya sgr isingefika mwanza badala yake ingefika tabora na kuelekea kigoma hata hvy Mwanza kwa ilipofikia usipoyanywa utayaoga ndo influence ya Kanda ya ziwa ukiharibu hapo sumu inatembea maeneo yote
 
Hakika mkuu,Wanamwanza ni watu wachapakazi na hiyo ni haki yao maana mchango wao katika keki ya taifa hili ni mkubwa sana.
 
Yan tunaletewa vyuo vya mabranch hv ni haki kweli Kanda yenye asilimia 30 ya population kukosa chuo
 
Upande wa airport wanajivunia gana Hadi pasiansi wakat kenyata kuanzia nyegezi kona mpk buhongwa ukipita night unasema huku ndo penyewe na ngoja ile mkuyuni iishe reli ya sgr mkuyuni itabadilika sana
Barabara ya Nyerere ndio inakuwa sana ...na yenyew haifati barabara inaingia Kwa ndani zaidi ,,angalia igoma kuelekea kishiri, nyakato kuelekea kakebe ,igoma kuelekea kakebe,the same Kwa nyamhongolo na kisesa
 
Tusiwaze negativity sana ...,,,, kuhusu suala la vyuo vikuu ... Kwan lazima kiwepo Cha serikali
 
Yan tunaletewa vyuo vya mabranch hv ni haki kweli Kanda yenye asilimia 30 ya population kukosa chuo
Bila shaka kadri miaka inavyoenda chuo kitakuja tu, mfano DIT campus ya Mwanza baada ya maboresho lazima wataipandisha hadhi na kuwa chuo kamili kama ilivo DIT,ATC nk.
Kwa upande wa miradi ya kimkakati inayoendelea huu mji nakuhakikishia unakuja kuwa mji mzuri na mkubwa wenye hadhi kubwa upande wote wa nchi za maziwa makuu.
Tatizo la viongoi wetu walio wengi hupenda kufanya mambo katika hali ya kawaida ,mfano kuanzia hapo mkuyuni kama unaingia mjini kupoitia mswahili mpaka kwenye kiwanda cha samaki Vicfish panatakiwa pawe na Gardeni za kisasa kabisa ambazo kingo zake zingenjengelewa kwa mawe na sehemu hiyo inakuwa ni sehemu ya mapumziko huku watu wakipata upepo wa ziwa na kufurahiwa magari yakiingia mjini na hiyo inachagiza vijana kufanya biashara ndogondogo kama ilivyo Cocobeach kwa sasa.
our reader must be innovative kwa sehemu kubwa.
 
Mmesikia hivyo vichekesho daraja la sgr urefu wake litakuwa km 1.4 litaanzia mswahili pale walipoweka mabati Hadi chakechake baada ya hapo litaishia hapo tuta litakuwa la kawaida had station mjn Kati na kuanzia trh 23 wataanza kuchimba mashimo kwa mashine na litakamilika mwakan mwez wa 7
 
Hawa NHC nahisi mkurugenzi wao ndio the sunk.cost fallacy.
 
Ndio maana huwa nashangaa sana kuona mtu wa mwanza au kanda ya ziwa anaiga watu wengine kumchukia Magufuli.
Bila yule jamaa hizi stendi, soko, daraja, sgr tungevisikia kwenye majira.
Airport tu hiyo hapo wamebakia kulumbana hakuna anayejali sababu ni mji hawaupendi
 
Hizo propaganda tu, Mwanza inachukiwa kabla ya Magu.
Walioko kwenye hifadhi ya barabara Magu alibomoa, hata hapo mza upanuzi wa barabara ya Airport nyumba kibao zimekula nyundo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ