Wanajengea pale pale ilipo stations ya sa hv ?Pesa ni ile ile ipo fixed trilion 3+ sio mchezo mkuu kwa 341km, yule mturuki hakuwa na station bora lakin mchina atajenga station nzuri kama michoro inavyoonesha🙏🙏🙏🙏
Yes, patawaka sana na lile Scraper la NSSF ndio usiseme, watabakia TEMESA na ofisi zao chakavu. Wasiwasi wangu ni kukosekana eneo la parking kwa ajili ya Daladala na Tax/ Bajaj. Najua traini huwa inatema kijiji. Na lile eneo lilivyokaa kistaarabu.Wanajengea pale pale ilipo stations ya sa hv ?
nazani Parking itakuwepo pale pembeni au wataweka underground parking.Yes, patawaka sana na lile Scraper la NSSF ndio usiseme, watabakia TEMESA na ofisi zao chakavu. Wasiwasi wangu ni kukosekana eneo la parking kwa ajili ya Daladala na Tax/ Bajaj. Najua traini huwa inatema kijiji. Na lile eneo lilivyokaa kistaarabu.
Shida vipanya vina fujo sananazani Parking itakuwepo pale pembeni au wataweka underground parking.
Hapo hakuna barabara ya vipanya mkuu.Shida vipanya vina fujo sana
Nawalia timing tu watakula block za nguvu🤣🤣🤣🤣Hadi nimewaza app iboreshe ili mwanzilishi wa Uzi aweze kufuta/kuzuia baadhi ya watu waiscomment au kuuona uzi kabisa....
Hizo habari za sijui Arusha hivi mala vile kwenye huu uzi ni upuuzi tu...
Ni hatari hasa hiyo ya Mwanza.Sgr stations kwenye hii lot ya Tano ziko moto hatari.
Unawish au ndio vitu atakavyokuja kufanya...?Samia akija mwanza atazindua nyegezi stand,ataweka jiwe la msingi daraja la juu akiwa mwanza atawaagiza wizard ya ujenzi wapanue barabara za mwanza
Mkuu hapo mwisho kwenye barabara ni uhakika au umeguessSamia akija mwanza atazindua nyegezi stand,ataweka jiwe la msingi daraja la juu akiwa mwanza atawaagiza wizard ya ujenzi wapanue barabara za mwanza
[emoji23][emoji23][emoji23] dah intelligent ameshindikana, au yuko kitengo nnUnawish au ndio vitu atakavyokuja kufanya...?
Haya ni maoni yako au una uhakika wa mambo haya kufanyikaSamia akija mwanza atazindua nyegezi stand,ataweka jiwe la msingi daraja la juu akiwa mwanza atawaagiza wizard ya ujenzi wapanue barabara za mwanza
Ndio nionavyo mama sasa hv haji mwanza kuna mazingira anayatengeneza siku akija atakuja kwa kishindo[emoji23][emoji23][emoji23] dah intelligent ameshindikana, au yuko kitengo nn
Nakuzindua meli MV mwanza!Ndio nionavyo mama sasa hv haji mwanza kuna mazingira anayatengeneza siku akija atakuja kwa kishindo
Hamna kishindo chochoteNdio nionavyo mama sasa hv haji mwanza kuna mazingira anayatengeneza siku akija atakuja kwa kishindo
Hizi mambo umezipata wapi? Kama ndio hivi yajayo yanafurahisha.Samia akija mwanza atazindua nyegezi stand,ataweka jiwe la msingi daraja la juu akiwa mwanza atawaagiza wizard ya ujenzi wapanue barabara za mwanza
Kaka hayo aliyoongea ni mawazo yake tu, daraja la juu ni package ya kwenye upanuzi wa barabara, sasa atawekaje jiwe la msingi wakati barabara haijaanza kujengwa?Hizi mambo umezipata wapi? Kama ndio hivi yajayo yanafurahisha.
hapo na mimi nilishangaa ilo daraja la juu si ndio sgr ambayo tayari alishaizindua, kama anakuja kwaajili ya uzinduzi na uwekaji wa jiwe la msingi wa upanuzi wa barabara ya kenyatta road itakuwa ni jambo jema sana.Kaka hayo aliyoongea ni mawazo yake tu, daraja la juu ni package ya kwenye upanuzi wa barabara, sasa atawekaje jiwe la msingi wakati barabara haijaanza kujengwa?
Kwenye bajeti ya serikali hakuna hela ya ujenzi wa barabara ya Kenyatta labda tusubiri bajeti ijayohapo na mimi nilishangaa ilo daraja la juu si ndio sgr ambayo tayari alishaizindua, kama anakuja kwaajili ya uzinduzi na uwekaji wa jiwe la msingi wa upanuzi wa barabara ya kenyatta road itakuwa ni jambo jema sana.