Tanroad wanatakiwa kuchekecha akili, hii ya barabara kuanzia mkuyuni sio sawa kabisa.
Kama wanaogopa kuvunja nyumba basi wafanye hivi:
Barabara huwa sio lazima zije zimeongozana zote njia nne pamoja, nashauri zitawanyikie pale voil, njia mbili za kuingia mjini zipite chini upande wa ziwa sambamba na reli mpaka stesheni, njia mbili za kutokea zitumie Kenyatta Road.
Tena hapa wanaweza weka njia tatu tatu