Rajab Endless
Senior Member
- Oct 2, 2019
- 121
- 167
Ata kama ni miaka 10 ipo siku itatembea hadi sasa karibia Trillion 10 zimeishalala ardhini kwenye huo mradi njia pekee ya kufanya usifanye kazi labda upigwe bom...Hivi hiyo treni ya umeme naiona Kama ndoto tu, hivi ndani ya miaka 5 ijayo tutaishuhudia kweli?
Hilo jambo waliambiwa kitambo sema kama hawajafanya ivo mpaka leo basi kunahaja ya kupeleka eneo la kigongo Mwanza city Councilila naona daraja la kigongo busisi litakamilika kwa wakati ila waziri mkuu kazisisitiza halmashauri za misungwi na sengerema wapime maeneo ya karibu na daraja watu wajenge hotel za kitalii kwan daraja lenyewe ni la kitalii
Hiyo ya kisesa-town na usagara-kigongo ni potential roads ata wasipojenga sasa zitajengwa tu Acha kwanza wajenge iyo 55kmSijaiona umehimu wa njia nne kufika mwanangwa ,,,ni matumizi mabaya ya resources ........ wangejenga Hadi usagara km 25 ,, wakajenga town Hadi kisesa km 18 .then Usagara Hadi kigongo km 10
Hawa hitaji kudondosha maghorofa, ni akili ndogo tu inahitajika.nafikir wataanzia pale voil manake city centre watadondosha magorofa mengi sana
Mkuu njia nne inajengwa sababu ya ongezeko la magari sio sensa ya watu, tanroad walishaangalia ni magari mangapi yanapita kwa siku Toka mwaka juziila inaonekana sensa ya mwaka huu mwanza imewatisha manake naona hii issue ya njia nne kama ipo serious na kuhusu kufunguliwa kwa stand ya nyegezi mh Raisi atafungua majaliwa kasema
Kona la kwenda Misasi km chache kutoka Misungwi center, ipo upande kulia kama unaelekea Shy townHivi Mwanangwa ni wapi...?
Kaka hiyo mipango yote ipo, hii mwanza yenyewe mnaipanua kila siku halafu mnataka barabara ziwe nyembambaSijaiona umehimu wa njia nne kufika mwanangwa ,,,ni matumizi mabaya ya resources ........ wangejenga Hadi usagara km 25 ,, wakajenga town Hadi kisesa km 18 .then Usagara Hadi kigongo km 10
Nashangaa kwa nini anapiga wakati barabara ya Nyerere iko kwenye upembuzi yakinifu.Hiyo ya kisesa-town na usagara-kigongo ni potential roads ata wasipojenga sasa zitajengwa tu Acha kwanza wajenge iyo 55km
Itaisha wako serious nayo sababu ni mtego ulioachwa na MarehemuHivi hiyo treni ya umeme naiona Kama ndoto tu, hivi ndani ya miaka 5 ijayo tutaishuhudia kweli?
Halafu mchina huwa yuko fastaMradi upo Kasi Sana sahv mzee kinachochukuaga mda ni kwny Mobilization sijui kuleta vifaa na kujenga makambi wakimaliza huwa ni faster faster sasa hv mrad upo asilimia 14 usijeshangaa ripot ya January umefika asilimia 30
Naunga mkono hojaTanroad wanatakiwa kuchekecha akili, hii ya barabara kuanzia mkuyuni sio sawa kabisa.
Kama wanaogopa kuvunja nyumba basi wafanye hivi:
Barabara huwa sio lazima zije zimeongozana zote njia nne pamoja, nashauri zitawanyikie pale voil, njia mbili za kuingia mjini zipite chini upande wa ziwa sambamba na reli mpaka stesheni, njia mbili za kutokea zitumie Kenyatta Road.
Tena hapa wanaweza weka njia tatu tatu
Voil kumebanana rafik angu ..huo upande wa reli wanajenga SGR na bado Kuna magodown ya vicfish ,,, inshort waexpand tuwe iwe njia tatu Hadi mjiniTanroad wanatakiwa kuchekecha akili, hii ya barabara kuanzia mkuyuni sio sawa kabisa.
Kama wanaogopa kuvunja nyumba basi wafanye hivi:
Barabara huwa sio lazima zije zimeongozana zote njia nne pamoja, nashauri zitawanyikie pale voil, njia mbili za kuingia mjini zipite chini upande wa ziwa sambamba na reli mpaka stesheni, njia mbili za kutokea zitumie Kenyatta Road.
Tena hapa wanaweza weka njia tatu tatu
Nammiss Magufuli huu ujinga usingekuwepo.Voil kumebanana rafik angu ..huo upande wa reli wanajenga SGR na bado Kuna magodown ya vicfish ,,, inshort waexpand tuwe iwe njia tatu Hadi mjini
Unawaza kama mimi,Nilikua natamani Nyumba zote za Chini pale CBD City Council wawape fidia wananchi kisha Nyumba zote zibomolewe pabaki wazi then wauze kwa Mataasis na Private sectors wajenge majengo kuanzia 10+ kwaajiri ya apartments na commercials, wanaweza ingia ubia kama wamiliki wa viwanja ili wapate kodi 2×