Rajab Endless
Senior Member
- Oct 2, 2019
- 121
- 167
Ok nimekuelewaHuwezi kuangusha majengo yote yale fidia itakuwa mabilion mengi sana waache waanzie mkuyuni tu then mkuyun adi city centre kutakuwa na daraja la juu la train pia wanaweza kuweka flyover ya magari adi mkuyuni.
Waziri mkuu ni mfatiliaji kama hayati magufuliWaziri mkuu ameupiga mwingi sana kwny daraja la kigongo busisi akasema wameshamaliza kujenga nguzo za daraja sasa hv wanaweka vyumba kwa ajili ya kushikilia Lami itakayowekwa
Mi navuka apo Busisi karibia kila mwezi, mara ya mwisho kuvuka hapo ilikua mwezi wa 9 juzi tu...Waziri mkuu ameupiga mwingi sana kwny daraja la kigongo busisi akasema wameshamaliza kujenga nguzo za daraja sasa hv wanaweka vyumba kwa ajili ya kushikilia Lami itakayowekwa
Lakini itabidi waifanyie maboresho hiyo barabara kutoka town hadi apo zitakapoanzia njia nne maana imechoka sana...Huwezi kuangusha majengo yote yale fidia itakuwa mabilion mengi sana waache waanzie mkuyuni tu then mkuyun adi city centre kutakuwa na daraja la juu la train pia wanaweza kuweka flyover ya magari adi mkuyuni.
Watapanua na kuwa njia tatu nafikiri.Lakini itabidi waifanyie maboresho hiyo barabara kutoka town hadi apo zitakapoanzia njia nne maana imechoka sana...
Mwanangwa linakutana na boda lingine la Kahama via Misasi to TaboraNaibu waziri wa ujenzi Eng kasekenya amesema watajenga barabara ya njia nne kuanzia mkuyuni Hadi mwanangwa misungwi km 55 upembuzi yakinifu umekamilika na suala wameshalipeleka kwa mh Raisi so pesa zikipatikana ujenzi utaanza
Ni advantage kwa barabara za Igogo/ Bugarika / Mahina zitapewa nafasi ya.kuboreshwa ili kupunguza jam city centerHuwezi kuangusha majengo yote yale fidia itakuwa mabilion mengi sana waache waanzie mkuyuni tu then mkuyun adi city centre kutakuwa na daraja la juu la train pia wanaweza kuweka flyover ya magari adi mkuyuni.
Hivi Mwanangwa ni wapi...?Mwanangwa linakutana na boda lingine la Kahama via Misasi to Tabora
Sijaiona umehimu wa njia nne kufika mwanangwa ,,,ni matumizi mabaya ya resources ........ wangejenga Hadi usagara km 25 ,, wakajenga town Hadi kisesa km 18 .then Usagara Hadi kigongo km 10Hivi Mwanangwa ni wapi...?
Mbele ya misungwiHivi Mwanangwa ni wapi...?
Hivi unajua daraja la kigongo busisi likiisha magari yatakuwa mengi hv unajua reli ya umeme ikiisha magari yatakuwa mengi?Sijaiona umehimu wa njia nne kufika mwanangwa ,,,ni matumizi mabaya ya resources ........ wangejenga Hadi usagara km 25 ,, wakajenga town Hadi kisesa km 18 .then Usagara Hadi kigongo km 10
Hivi hiyo treni ya umeme naiona Kama ndoto tu, hivi ndani ya miaka 5 ijayo tutaishuhudia kweli?Hivi unajua daraja la kigongo busisi likiisha magari yatakuwa mengi hv unajua reli ya umeme ikiisha magari yatakuwa mengi?
Labda ya kutoka mwanza kwenda isakaHivi hiyo treni ya umeme naiona Kama ndoto tu, hivi ndani ya miaka 5 ijayo tutaishuhudia kweli?
Labda ya kutoka mwanza kwenda isaka
Mkuyuni wanaanzia wapi labda butimba Kona ...Kwa sababu kuanzia pale mswahili Kuna viwanda na magodown ya magodoro pamoja na sheli ziko road kabisaaNaibu waziri wa ujenzi Eng kasekenya amesema watajenga barabara ya njia nne kuanzia mkuyuni Hadi mwanangwa misungwi km 55 upembuzi yakinifu umekamilika na suala wameshalipeleka kwa mh Raisi so pesa zikipatikana ujenzi utaanza
Mbona kwenye huu mchoro naona njia nne zikipita chini ya hii flyover ya reli.Kitombile uache uchawi wako wa Kuwaza vitu vidogo eti njia nne zianzie mkuyuni kisa unaogopa bomoabomoa.
Sasa BRT tutajengaje tukiogopa bomoabomoa,
Kubomoa kuna saidia kureshape mji.
Kwa sababu nachojua hyo flyover inakutana na road pale voilMbona kwenye huu mchoro naona njia nne zikipita chini ya hii flyover ya reli.
Voil paleMkuyuni wanaanzia wapi labda butimba Kona ...Kwa sababu kuanzia pale mswahili Kuna viwanda na magodown ya magodoro pamoja na sheli ziko road kabisaa