intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 706
- 1,126
Mkuu wa mkoa hawez hyo kazi muachie mabula stanslausNingekuwa ni mkuu wa mkoa ningechombeza swali kwa waziri mkuu kuhusiana na upanuzi wa barabara ya kenyatta pamoja muendelezo wa jengo la abiria uwanja wa ndege.
Sawa mabula kama akiwepo achomekee hiyo kitu.Mkuu wa mkoa hawez hyo kazi muachie mabula stanslaus
Nataka kuuliza pale mkuyuni walipoweka mabati ndio ujenzi wa daraja la juu la sgr unaanza au?Nimesikia maelezo juu ya mrad wa reli kwny ziara ya waziri mkuu ni kuwa terminal ya fela itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 500 ila design ya terminal ya mwanza itakuwa kama miamba fulan ila hawajasema itakuwa na uwezo wa kubeba abiria wangap pia wamesema pale maeneo ya kuingia mjin watajenga daraja la juu la km 1.4 litakuwa daraja refu la pili kwny mrad wa reli baada ya la Dar lenye urefu wa km2.5
Nafikir ujenz wa daraja unaanzia hapoNataka kuuliza pale mkuyuni walipoweka mabati ndio ujenzi wa daraja la juu la sgr unaanza au?
Hapo sawaNafikir ujenz wa daraja unaanzia hapo
Mradi unaanza lini mkuu?? Na barabara ya mkuyuni adi nyakato ujenzi utaanza lini?Kitombile uache uchawi wako wa Kuwaza vitu vidogo eti njia nne zianzie mkuyuni kisa unaogopa bomoabomoa.
Sasa BRT tutajengaje tukiogopa bomoabomoa,
Kubomoa kuna saidia kureshape mji.
😆😆😆 kuna magorofa hapo pepsi na matank ya GBP, cha msingi maeneo hayo waweke barabara za juu🤣🤣🤣Kitombile uache uchawi wako wa Kuwaza vitu vidogo eti njia nne zianzie mkuyuni kisa unaogopa bomoabomoa.
Sasa BRT tutajengaje tukiogopa bomoabomoa,
Kubomoa kuna saidia kureshape mji.
Na allvyosema hvy watu wameshangilia sana nafkr atapeleka message kwa mh RaisiNaibu waziri wa ujenzi Eng kasekenya amesema watajenga barabara ya njia nne kuanzia mkuyuni Hadi mwanangwa misungwi km 55 upembuzi yakinifu umekamilika na suala wameshalipeleka kwa mh Raisi so pesa zikipatikana ujenzi utaanza
Dah kwanini waanzie mkuyuni na sio city center...?Naibu waziri wa ujenzi Eng kasekenya amesema watajenga barabara ya njia nne kuanzia mkuyuni Hadi mwanangwa misungwi km 55 upembuzi yakinifu umekamilika na suala wameshalipeleka kwa mh Raisi so pesa zikipatikana ujenzi utaanza
nafikir wataanzia pale voil manake city centre watadondosha magorofa mengi sanaDah kwanini waanzie mkuyuni na sio city center...?
Huwezi kuangusha majengo yote yale fidia itakuwa mabilion mengi sana waache waanzie mkuyuni tu then mkuyun adi city centre kutakuwa na daraja la juu la train pia wanaweza kuweka flyover ya magari adi mkuyuni.Dah kwanini waanzie mkuyuni na sio city center...?
Pia kaagiza waweke zile cable kwa ajili ya zile taa za kuvutia liwe daraja la utaliiWaziri mkuu ameupiga mwingi sana kwny daraja la kigongo busisi akasema wameshamaliza kujenga nguzo za daraja sasa hv wanaweka vyumba kwa ajili ya kushikilia Lami itakayowekwa