Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Yaani sisi huwa tunaima viwanja vya nyumba na kuuza vyote hatuwazi kuhifadhi maeneo kwa miradi mikubwa ya baadae.Kwa sasa hivi sidhani kama nafasi itapatikana ya kutoa aridhi ya chuo Kikubwa ndani ya jiji. Hii yote ni kutokana na miji yetu kutokutunza aridhi kwa ajili ya project maalum. Chuo kikijengwa labda Misungwi/ Magu/ Sengerema
Labda kijengwe IsebandaKwa sasa hivi sidhani kama nafasi itapatikana ya kutoa aridhi ya chuo Kikubwa ndani ya jiji. Hii yote ni kutokana na miji yetu kutokutunza aridhi kwa ajili ya project maalum. Chuo kikijengwa labda Misungwi/ Magu/ Sengerema
Ilemela wana utajiri wa ardhi mkuu.Kwa sasa hivi sidhani kama nafasi itapatikana ya kutoa aridhi ya chuo Kikubwa ndani ya jiji. Hii yote ni kutokana na miji yetu kutokutunza aridhi kwa ajili ya project maalum. Chuo kikijengwa labda Misungwi/ Magu/ Sengerema
Kwan SAUT sio chuo kikuuMwanza ingekuwa na chuo kikuu cha serikali mkoa ungekuwa umepiga mbali sana kimaendeleo na fursa zingekuwa nyingi na population ingeongezeka sana
Kiongozi kanda nzima ya ziwa haina chuo kikuu cha serikali ata kimoja, hii ni hatari sana.Kwan SAUT sio chuo kikuu
Tunataka UMWZ/UMZAKwan SAUT sio chuo kikuu
Tuna Ukiruguru 😛 😛 😛 😛Kiongozi kanda nzima ya ziwa haina chuo kikuu cha serikali ata kimoja, hii ni hatari sana.
Sioni ulazima wa kuwepo chuo kikuu Cha serikali kama Kuna vyuo vikuu vya private vyenye ubora pamoja na taasisi zinazotoa mafunzo katika fani mbali mbali za elimu ya juu....maybe tu useme ni sifa ...Kiongozi kanda nzima ya ziwa haina chuo kikuu cha serikali ata kimoja, hii ni hatari sana.
Mi nilihitaji kujiendeleza kielimu huku nikifanya kazi katika course za Engineering lakini nilishindwa sababu hakuna chuo kinacho toa hizo course hapo Mwanza na hata mikoa ya jirani kwahiyo kua na chuo kikuu ukanda huu haswa Mwanza ni muhimu sana tunakosa fursa nyingi kutoka a na kushindwa kujiendeleza...Sioni ulazima wa kuwepo chuo kikuu Cha serikali kama Kuna vyuo vikuu vya private vyenye ubora pamoja na taasisi zinazotoa mafunzo katika fani mbali mbali za elimu ya juu....maybe tu useme ni sifa ...
Katika fani ya afya Kuna CUHAS
fani ya teknolojia Kuna. DIT
fani ya biashara Kuna TIA ,CBE na IFM
fani ya mipango na maendeleo ya jamii Kuna IRDP
fani za sayansi ya jamii , humanity n.k Kuna SAUT .
katika suala la elimu ya juu hatuko nyuma sana kikubwa maboresho tu yafanyike
Hata hvyo .hyo ndio mipango yenyewHuwa na waza kwanini ile DIT Mwanza Campus isingefanya taasisi inayojitegemea ikaitwa Mwanza Institute of Technology au Mwanza College Of Engineering wakapewa lile eneo lote hadi pale kilipokua kiwanda cha ngozi, wakajenga majengo yao kwa awamu saizi wangekua mbali sana maana toka DIT wamekabidhiwa hilo eneo na Rais wa awamu ya nne mwaka 2011 hadi leo ni miaka mingi sana ingesaidia kupunguza population kwenye vyuo vyetu vya engineering Arusha Tech, iliokua Mbeya Inst of Tech na hasa pale DIT penyewe maana eneo ni finyu sana pale...
Kuwa baadae itatoka kua chini Main Campus au...?Hata hvyo .hyo ndio mipango yenyew
Yeah ..wana mpango wakiite mwanza institute of technologyKuwa baadae itatoka kua chini Main Campus au...?
Kambi safi ya timu, watapiga mpunga wa kutosha.View attachment 2388875
Wag Hill wamejenga football pitch hotelini kwao
Inabidi akija mwanza tumchane, tunataka chuo kikuu kikubwa misiri ya UDSM tupate hata foreign studentsUnawaza kama mimi MWANZA UNIVERSITY Hakika mama ataacha legacy kubwa sana.
Niliwahi sikia ,.. kwenye habari serikali imepanga kujenga chuo kikuu Cha waendesha mashtaka .. Tanzania institute of prosecution .na eneo wanalo Usagara .. vilevile wakati ndalichako ni waziri aliwahi ulizwa na mtangazaji hapa mwanza kuhusu chuo kikuu akasema wana mpango kukipanua chuo Cha ukiriguru kuwa chuo kikuu Cha serikali hapo baadaeInabidi akija mwanza tumchane, tunataka chuo kikuu kikubwa misiri ya UDSM tupate hata foreign students
Daraja litapendeza .swali langu ikitokea meli inataka kwenda upande wa pili wa daraja itapitaje Kwa sababu naona daraja kimo chake sio kirefu SanView attachment 2389165
Katikati pameinuka zaidi kuruhusu meli za kimo fulaniDaraja litapendeza .swali langu ikitokea meli inataka kwenda upande wa pili wa daraja itapitaje Kwa sababu naona daraja kimo chake sio kirefu SanView attachment 2389165
Zile nguzo kuu tatu kimo ni kurefu, waliishasema kinaruhusu meli zetu kupita bila shidaDaraja litapendeza .swali langu ikitokea meli inataka kwenda upande wa pili wa daraja itapitaje Kwa sababu naona daraja kimo chake sio kirefu SanView attachment 2389165