Hili nalo neno.Mwanza, asilimia kubwa hawamkubali Samia kuanzia watu wa chini Hadi wa juu .. sukuma gang wamewekeza pakubwa huku na wamebrainwash vichwa vya watu ajabu na Samia analijua Hilo ......na ndio maana anatuma wasaidizi wake kuja kusafisha njia ...Geita power Yao kisiasa ni ndogo ukilinganisha na Mwanza ....na JPM alipendwa mwanza kuliko hata geita
Mbona mtandaon malalamiko kibao ...maji mwanza shida Kila sehemu ...wa
Nunua tu mzee, mpaka uje umalize ujenzi maji yatakuwa yapo ya uhakikaAisee ngoja nisubiri kwanza
Nunua tu mzee, mpaka uje umalize ujenzi maji yatakuwa yapo ya uhakika
Hiyo badobado na kuna siasa nyingi ndani yake, inaweza kutokea lakini sioni ikitokea kabla ya 2025,,,,sio kununua mzee .....nasubiri manispaa Mpya ya kisesa ndo tuhamie kwenye fursa mpya
Hii bado sana aiseeHiyo badobado na kuna siasa nyingi ndani yake, inaweza kutokea lakini sioni ikitokea kabla ya 2025
Hata huko Geita anajaribu kujipendekeza kwa sababu kiuhalisia kanda ya ziwa imejikatia tamaa na mama.Mwanza, asilimia kubwa hawamkubali Samia kuanzia watu wa chini Hadi wa juu .. sukuma gang wamewekeza pakubwa huku na wamebrainwash vichwa vya watu ajabu na Samia analijua Hilo ......na ndio maana anatuma wasaidizi wake kuja kusafisha njia ...Geita power Yao kisiasa ni ndogo ukilinganisha na Mwanza ....na JPM alipendwa mwanza kuliko hata geita
HakikaHata huko Geita anajaribu kujipendekeza kwa sababu kiuhalisia kanda ya ziwa imejikatia tamaa na mama.
Kuna ndugu zangu walishapewa mshiko wakapelekwa kwenye moja ya mikutano yake ili kuonyesha ana watu.
Atajitahidi walau aanze barabara moja hata kama ni kwa kusuasua la sivyo hali itakuwa si nzuri kwenye uchaguzi.
Jana watu wamesafirishwa kwa mabasi bure kutoka katoro to Geita wakaahidiwa kuwaona Harmonize na Zuchu.Hata huko Geita anajaribu kujipendekeza kwa sababu kiuhalisia kanda ya ziwa imejikatia tamaa na mama.
Kuna ndugu zangu walishapewa mshiko wakapelekwa kwenye moja ya mikutano yake ili kuonyesha ana watu.
Atajitahidi walau aanze barabara moja hata kama ni kwa kusuasua la sivyo hali itakuwa si nzuri kwenye uchaguzi.
Wasitumie nguvu ni plan za akili tu, Rais afanye mradi mkubwa Mwanza au sehemu yoyote kanda ya ziwa atapendwa tu automatically.Jana watu wamesafirishwa kwa mabasi bure kutoka katoro to Geita wakaahidiwa kuwaona Harmonize na Zuchu.
Inavutia team kuweka Kambi hapoView attachment 2388875
Wag Hill wamejenga football pitch hotelini kwao
Natamani ajenge chuo kikuu Mwanza atakumbukwa maisha yoteWasitumie nguvu ni plan za akili tu, Rais afanye mradi mkubwa Mwanza au sehemu yoyote kanda ya ziwa atapendwa tu automatically.
Unawaza kama mimi MWANZA UNIVERSITY Hakika mama ataacha legacy kubwa sana.Natamani ajenge chuo kikuu Mwanza atakumbukwa maisha yote
Kuna chuo cha mambo ya technologist kikubwa kinajengwa Dodoma nikajiuliza jpm alikuwa wap kukataa badala yake kijengwe mwanzaUnawaza kama mimi MWANZA UNIVERSITY Hakika mama ataacha legacy kubwa sana.
Mwanza ingekuwa na chuo kikuu cha serikali mkoa ungekuwa umepiga mbali sana kimaendeleo na fursa zingekuwa nyingi na population ingeongezeka sanaKuna chuo cha mambo ya technologist kikubwa kinajengwa Dodoma nikajiuliza jpm alikuwa wap kukataa badala yake kijengwe mwanza
Nawaona vijana wa Chamazi hapoInavutia team kuweka Kambi hapo
Kwa sasa hivi sidhani kama nafasi itapatikana ya kutoa aridhi ya chuo Kikubwa ndani ya jiji. Hii yote ni kutokana na miji yetu kutokutunza aridhi kwa ajili ya project maalum. Chuo kikijengwa labda Misungwi/ Magu/ SengeremaMwanza ingekuwa na chuo kikuu cha serikali mkoa ungekuwa umepiga mbali sana kimaendeleo na fursa zingekuwa nyingi na population ingeongezeka sana
Kijengwe Magu au Misungwi ni sawa tu kikubwa kipo ndani ya mkoa wa Mwanza, Wakijenga kisesa au Usagala sioni tatizo kwa kuwa maeneo yote ni kama yapo ndani ya jiji.Kwa sasa hivi sidhani kama nafasi itapatikana ya kutoa aridhi ya chuo Kikubwa ndani ya jiji. Hii yote ni kutokana na miji yetu kutokutunza aridhi kwa ajili ya project maalum. Chuo kikijengwa labda Misungwi/ Magu/ Sengerema