Mwanza sidhani Kama Kuna sehemu haina access ya umeme, hata kwa kina intelligent upo labda Kama hawajataka tu kuvuta[emoji23][emoji23]Huwezi kuongelea mwanza ukapatoa kwenu misungwi......mbona daraja la JPM Kila siku tunalisifia humu ,, wakati halipo jijj la mwanza,,,,,,,,,.......maji na umeme ni muhimu sana ,......huko nyakagwe Kwa Kina intelligent Hamna maji Wala umeme
Nyakagwe umeme upo tangu 2019 labda useme mwasonge tyr nguzo zimeshasimikwa mda wwte umeme utawakaHuwezi kuongelea mwanza ukapatoa kwenu misungwi......mbona daraja la JPM Kila siku tunalisifia humu ,, wakati halipo jijj la mwanza,,,,,,,,,.......maji na umeme ni muhimu sana ,......huko nyakagwe Kwa Kina intelligent Hamna maji Wala umeme
Daah nimeshndwa kupatambuaGuess whereView attachment 2388239
LukobeDaah nimeshndwa kupatambua
Hii picha umepiga ukiwa karibu na tenk la maji kahama hukuGuess whereView attachment 2388241
Ila nyegezi ni balaa magorofa yanachepuka zaidi ya uyoga, ukuaji wa nyegezi ni mkubwa kuliko mwanza cbd.CBD Sio maghorofa tu .na Hilo ndio linalowachanganya watu ... Kuna maana ya CBD zaidi kuwa na maghorofa
Wapi huku?Mji mkubwa huu [emoji28] tokea huku mpaka ufike buhongwa sasa View attachment 2388243
Hizi chumvi bro ... japokuwa sipo mwanza muda .ila siamini kama wasema kweliIla nyegezi ni balaa magorofa yanachepuka zaidi ya uyoga, ukuaji wa nyegezi ni mkubwa kuliko mwanza cbd.
Siwez kukulisha matango pori mkuu karibu hujionee mwenyewe nilikuwa na mwezi sinaenda huko nyegezi nikaona leo nipite na pia nilikuwa nataka kuangalia maendeleo ya nyegezi bus terminus, lakini nilichojionea huko nyegezi ni balaa tu, kama usipoona magorofa yakipanda, basi kuna mabati kwenye mabango yameandikwa commercial building kila sehemu ni miradi ya magorofa tupu.Hizi chumvi bro ... japokuwa sipo mwanza muda .ila siamini kama wasema kweli
Mbona hutupi update ya hotel yako ya nyota 7 capripoint na Ile ya ilemelaSiwez kukulisha matango pori mkuu karibu hujionee mwenyewe nilikuwa na mwezi sinaenda huko nyegezi nikaona leo nipite na pia nilikuwa nataka kuangalia maendeleo ya nyegezi bus terminus, lakini nilichojionea huko nyegezi ni balaa tu, kama usipoona magorofa yakipanda, basi kuna mabati kwenye mabango yameandikwa commercial building kila sehemu ni miradi ya magorofa tupu.
Mwanza cbd imesimama lakini nyegezi inakimbizana na muda, salute sana nyegezi kwa speed ya maendeleo.
Bas ni [emoji91][emoji91][emoji91]...,,,,,mi niliacha tu pale jirani na namanga hospital NHIF wing .....Siwez kukulisha matango pori mkuu karibu hujionee mwenyewe nilikuwa na mwezi sinaenda huko nyegezi nikaona leo nipite na pia nilikuwa nataka kuangalia maendeleo ya nyegezi bus terminus, lakini nilichojionea huko nyegezi ni balaa tu, kama usipoona magorofa yakipanda, basi kuna mabati kwenye mabango yameandikwa commercial building kila sehemu ni miradi ya magorofa tupu.
Mwanza cbd imesimama lakini nyegezi inakimbizana na muda, salute sana nyegezi kwa speed ya maendeleo.
Mbona hutupi update ya hotel yako ya nyota 7 capripoint na Ile ya ilemela
Huwez piga comfortable..lazima Kuna sehemu itabidi upige Kwa mapozi ,,,ili asikuone wa tofauti [emoji16]Kesho itabidi niende kuipiga picha japo nitakuwa na shemeji yako[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Itabidi nimpaki sehemu sehemu then nifanye yangu coz hiyo hotel ya nyota saba ni mapinduzi makubwa ya kihotel hapa Mwanza, hiyo hotel itakuwa na undugu wa kufanana na malaika beach resort.💥💥💥💥💥 🏖Huwez piga comfortable..lazima Kuna sehemu itabidi upige Kwa mapozi ,,,ili asikuone wa tofauti [emoji16]