Nyamhongolo kwa bank inafaa kwa sababu ni mji unapanuka na hakuna matawi mengi ya bank, kama watafungua watahudumia watu wa Nyamhongolo, Igoma, Kishili, Kisesa na maeneo mengine ya jiraniKwa nyegezi ilivyo pale hata supermarket inalipa sana ttz ni nyamhongolo bado mji hajakua kivile
Nyegezi ni CBD ya nne mwanza tunaanza mjini Kati,tunakuja kirumba na ghana,buzuruga ya nne nyegeziUnaipenda sana nyegezi asee๐๐๐๐
Inatubidi na sisi tubadilike tuwe kama mataifa mengine, bidhaa za supermarkert huwa na vitu vya bei rahisi sana sema watu bado ni waoga wakizadhani huko kuna bei kubwa.Kwa banks inaweza ku apply lakin kwa supermarket naona ni tatizo kwa sababu si rahisi kwa mtu kwenda stendi kufata supermaket wakati barabarani kuna bidhaa nyingi tu tena kwa bei rahisi
Pale igoma kuna nmb,crdb kisesa kuna crdbNyamhongolo kwa bank inafaa kwa sababu ni mji unapanuka na hakuna matawi mengi ya bank, kama watafungua watahudumia watu wa Nyamhongolo, Igoma, Kishili, Kisesa na maeneo mengine ya jirani
Kirumba ni extension ya Mwanza CBD kulingana na Mwanza city master plan, buzuruga na nyegezi ndio the upcomming CBD.Nyegezi ni CBD ya nne mwanza tunaanza mjini Kati,tunakuja kirumba na ghana,buzuruga ya nne nyegezi
Pamoja na uwepo wa haya matawi lakini bado kuna faida ya kuwa na matawi mengine pale Nyamhongolo stendiPale igoma kuna nmb,crdb kisesa kuna crdb
Pamoja na uwepo wa haya matawi lakini bado kuna faida ya kuwa na matawi mengine pale Nyamhongolo stendi
Ila ukweli Supermarket vitu viko juu sana. Kuna siku nilikuwa natafuta tv nikaanzia pale mjini nikapata bei, nikaenda Rock City mall kuulizia tv ile ile bei yake ipo juu 300,000 zaidi ya ile ya mjini na hawapunguzi hata kidogo. Nilichoka sana na nikajisemea nitaendelea kununua vitu kwenye maduka yetu tuliyozoea ukifika mnaanza kupanga na bei kabisa.Inatubidi na sisi tubadilike tuwe kama mataifa mengine, bidhaa za supermarkert huwa na vitu vya bei rahisi sana sema watu bado ni waoga wakizadhani huko kuna bei kubwa.
Wanaanza kujenga lini hyo barabaraNaongelea barabara ya mkuyuni kwenda Nilepeaech
Hapo ndio taarifa hazijajulikana ni lini watajenga. Ila sidhani kama watajenga bila kulipa watu kwanza watakaoathirika na upitaji Wa barabara hii.Wanaanza kujenga lini hyo barabara
Umesikia wapi hii project leta full information.Naongelea barabara ya mkuyuni kwenda Nilepeaech
Nilikuwa namuona anatype sijui ameishia wap ๐๐๐Umesikia wapi hii project leta full information.
Unajua vizuri maana ya CBD?Nyegezi ni CBD ya nne mwanza tunaanza mjini Kati,tunakuja kirumba na ghana,buzuruga ya nne nyegezi
Hyo barabara ni km 11Barabara nayozungumzia ni hiyo ya mkuyuni-nilepearch . Kwamba uthamini nasikia umefanyika kwa nyumba zitakazoathiriwa na mradi au ujenzi wa barabara hiyo. Nafikiri watakuwa serious na ujenzi wa barabara hii ya 9.5 Km
Na ndio maana watu hawaendi kununua vitu supermarket. Niliwahi ishi nchi flani miaka sita nikiwa nasoma huko yani bei ya mtaani na ya supermarket ni sawa. Kama kunautofauti ni visenti vichache. Sijui bongo shida nni........Ila ukweli Supermarket vitu viko juu sana. Kuna siku nilikuwa natafuta tv nikaanzia pale mjini nikapata bei, nikaenda Rock City mall kuulizia tv ile ile bei yake ipo juu 300,000 zaidi ya ile ya mjini na hawapunguzi hata kidogo. Nilichoka sana na nikajisemea nitaendelea kununua vitu kwenye maduka yetu tuliyozoea ukifika mnaanza kupanga na bei kabisa.
Fuatilia mkuu kwenye hyo barabara kunaalama nyekundu zimewekwa kwenye nyumba zitakazoathiriwa.....Hyo barabara ni km 11
Mwez wa 9 mwanzon nilikuwepo huko maeneo ya kanyerere nyumba zimepigwa mkasi balaaFuatilia mkuu kwenye hyo barabara kunaalama nyekundu zimewekwa kwenye nyumba zitakazoathiriwa.....