Rajab Endless
Senior Member
- Oct 2, 2019
- 121
- 167
Hivi hii barabara ya Kona ya bwiru, Nyansaka hadi Buzuruga alijenga nani? Najua kipindi inajengwa tarula ilikua bado haijaanzishwa...Napenda barabara za world bank tu sijui miradi ya tarura huwa haziniporezea muda najua baada ya week au mwezi ni mashimo.
Miradi mipya ipo ambayo itaanza mwezi wa tatu ya tactic, kama soko kuu la kirumba na barabara kuzunguka soko hilo 2.5km, barabara ya cocacola adi buswelu 3.5km, barabara ya nyamhongolo adi buswelu 9.5km.Mi naomba hii miradi ya kimkakati ambayo kila siku wanajinasibu nayo kuhusu Mwanza ikamilike haraka (Stand ya Nyegezi, Nyamhongolo,Soko kuu pamoja na Damp la Buhongwa)...
Baada ya hapo tuone watajinasibu na miradi ipi mikubwa Mwanza, mi naamini baada ya miradi hii kukamilika ambayo nafkri hadi kufika mwakani yote itakua imekamilika, wataleta tu miradi mikubwa hawawezi pindua Kwa ukuaji wa Mwanza inawalazimu kuleta miondombinu...
Kipindi hicho halmashauri zilikuwa na uwezo binafsi, pia Mwanza tuna bahati ya kupata sana miradi toka kwa wazungu.Hivi hii barabara ya Kona ya bwiru, Nyansaka hadi Buzuruga alijenga nani? Najua kipindi inajengwa tarula ilikua bado haijaanzishwa...
Hayo maduka mi nilikua najua ni sehemu ya soko kwembe haiko hivyo...?Wanaeneo zuri sana pale clinic lakini wamelala tu wakiwazia 10%, pia hapo mbele ya soko la mjini kati hapo pamba road kuna vijumba vya maduka, ambavyo nasikia wamiliki walishalipwa fidia waweke vitu vizuri vya watu kupumzikia na kutuliza mawazo.
Wataondolewa tu ngoja soko liishe, na wakiondolewa waweke recreational area tu hapo nadhani patavutia sana.Hayo maduka mi nilikua najua ni sehemu ya soko kwembe haiko hivyo...?
Asante kwa ukumbusho nakumbuka ilishajadiliwa humu, hii miradi naona ni mingi itaanza yote kwa pamoja au itakua ikipishana kulingana kulingana na flow ya pesa kutoka kwa mfadhili...?Miradi mipya ipo ambayo itaanza mwezi wa tatu ya tactic, kama soko kuu la kirumba na barabara kuzunguka soko hilo 2.5km, barabara ya cocacola adi buswelu 3.5km, barabara ya nyamhongolo adi buswelu 9.5km.
Kwa nyamagana, mradi wa mto mirongo kujengwa kwa 9.5km, mradi wa soko kubwa la samaki mkuyuni na mradi wa barabara ya buhongwa, kishiri adi Igoma 14km.
Fact kabisaNjia nne ni jambo la msingi, unapoweka miundo mbinu usiangalie tu sasa bali angalia wakati ujao ata miaka 10 patakuwaje?
Ni bora wafikie tamati ili mradi ufanye kazi maana kuendelea kua na kile ki-terminal cha kikoloni ni aibu kwa taifa na sio Mwanza pekee. Hataka ile jengo jipya halikizi ni bora likatumika kwa muda huku tukisubiri the real international airport....M nalia na airport
Natamani mgogoro wa halmshauri na TAA uishe lile jengo kama ni terminal 1 ianze
Hii miradi itaanza yote kwa pamoja kukimbizana na muda, pia kuna miji mingine inatakiwa ipate hii miradi sisi na majiji mengine kutoa Tanga na baadhi ya manispaa tumewekwa first tier, ni jambo la kushukuru, then wataenda kwenye miji ya second tier na third tier.Asante kwa ukumbusho nakumbuka ilishajadiliwa humu, hii miradi naona ni mingi itaanza yote kwa pamoja au itakua ikipishana kulingana kulingana na flow ya pesa kutoka kwa mfadhili...?
Nashauri ilo jengo lisijengwe kwa force account bali wakabidhiwe TAA wajenge jengo jipya lakini wakae pamoja wapange, je halmashauri.za jiji la Mwanza nao watanufaika vipi.M nalia na airport
Natamani mgogoro wa halmshauri na TAA uishe lile jengo kama ni terminal 1 ianze
Dah jambo la kushukru sana nafkri hadi kufika 2024 Mwanza itakua na twaswira nyingine kabisa...Hii miradi itaanza yote kwa pamoja kukimbizana na muda, pia kuna miji mingine inatakiwa ipate hii miradi sisi na majiji mengine kutoa Tanga na baadhi ya manispaa tumewekwa first tier, ni jambo la kushukuru, then wataenda kwenye miji ya second tier na third tier.
Kufika 2025 Mwanza itapendeza zaidi.Dah jambo la kushukru sana nafkri hadi kufika 2024 Mwanza itakua na twaswira nyingine kabisa...
Sio manispaa au miji yote inapata hii miradi, ni kukidhi vigezo na maandiko bora.Manispaa ya kisesa ingekuwa imeanza mwanza tungekuwa tunashambulia kwelikweli kwenye mirad ya tactics yan nyamagana,ilemela na kisesa
Hizi ni majiji yote, manispaa zote na miji yote hebu niambie halmashauri zilizoachwa zenye hizo sifaSio manispaa au miji yote inapata hii miradi, ni kukidhi vigezo na maandiko bora.
Ata bunda ni mji ila haimoHizi ni majiji yote, manispaa zote na miji yote hebu niambie halmashauri zilizoachwa zenye hizo sifa
Bunda ipo kwny tier 3Ata bunda ni mji ila haimo
Kuhusu airport mambo yako hviM nalia na airport
Natamani mgogoro wa halmshauri na TAA uishe lile jengo kama ni terminal 1 ianze