intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 706
- 1,126
pia barabara kutoka mahina Kati had bugarika kupitia igelegeleNyamagana yakiboreshwa haya mambo yatakuwa mazur kwny barabara
1.barabara njia nne had usagara
2.buhongwa had igoma
3.mkuyuni had nyakato
4.buhongwa Hadi bukumbi had bulale
5.zile barabara za mwananchi had mahina Kati kuna barabara nyingi za vumbi ingawa makazi ni mazuri
Barabara za ilemela
1.njia nne kutoka mjini had nyanguge
2.Airport had nyanguge had kisesa
3.kahama had Tx
4.kahama to ilalila had sangabuye
5.buswelu had nyamhongolo
6.buswelu had igoma kiwanda cha coca
7.ibanda ziwan iungane na barabara ya mwaloni
8.barabara za kirumba za vumbi za muhimu zipigwe Lami
9.barabara za buswelu mjini zipigwe Lami baadhi
I wish wawe wanaona haya Mambo hata Kama zote huwezi kuzifanya kwa mara moja basi Jenga chache chache zenye quality, sio zile za tarura zile ni uchafu uchafu kabisaNyamagana yakiboreshwa haya mambo yatakuwa mazur kwny barabara
1.barabara njia nne had usagara
2.buhongwa had igoma
3.mkuyuni had nyakato
4.buhongwa Hadi bukumbi had bulale
5.zile barabara za mwananchi had mahina Kati kuna barabara nyingi za vumbi ingawa makazi ni mazuri
Barabara za ilemela
1.njia nne kutoka mjini had nyanguge
2.Airport had nyanguge had kisesa
3.kahama had Tx
4.kahama to ilalila had sangabuye
5.buswelu had nyamhongolo
6.buswelu had igoma kiwanda cha coca
7.ibanda ziwan iungane na barabara ya mwaloni
8.barabara za kirumba za vumbi za muhimu zipigwe Lami
9.barabara za buswelu mjini zipigwe Lami baadhi
Jambo jema hilo Kama litatekelezwa inavyotakiwaHuo ni ujenzi wa awamu ya kwanza kulingana na walivyosema
N idea nzur san shid kw hii serkal sas mmh n km ndoto tu kwanz mirad mpka ianze n shida kumalizik pia I inshu nyingne inachukua mda san kw visingzio viing mirad tu ilioachwa na maguful mpka leo iliokua ikamilke haijakmilk sjui iyo itaish lin japokua kuanz lin haijulkan pia...Nyamagana yakiboreshwa haya mambo yatakuwa mazur kwny barabara
1.barabara njia nne had usagara
2.buhongwa had igoma
3.mkuyuni had nyakato
4.buhongwa Hadi bukumbi had bulale
5.zile barabara za mwananchi had mahina Kati kuna barabara nyingi za vumbi ingawa makazi ni mazuri
Barabara za ilemela
1.njia nne kutoka mjini had nyanguge
2.Airport had nyanguge had kisesa
3.kahama had Tx
4.kahama to ilalila had sangabuye
5.buswelu had nyamhongolo
6.buswelu had igoma kiwanda cha coca
7.ibanda ziwan iungane na barabara ya mwaloni
8.barabara za kirumba za vumbi za muhimu zipigwe Lami
9.barabara za buswelu mjini zipigwe Lami baadhi
Mzee baba angemaliza mda wake mwanza ingekuwa kama paris aiseeN idea nzur san shid kw hii serkal sas mmh n km ndoto tu kwanz mirad mpka ianze n shida kumalizik pia I inshu nyingne inachukua mda san kw visingzio viing mirad tu ilioachwa na maguful mpka leo iliokua ikamilke haijakmilk sjui iyo itaish lin japokua kuanz lin haijulkan pia...
Achana na mabarabara ya tarura naomba uangalie barabara zilizojengwa chini ya miradi ya world bank kama ya sabasaba, miji mwema, mwaloni na mjini kati kama ile ya thaqaafa, nyakahoja, sukuma, na isamilo ni nzuri na zipo standard ata huu mradi wa sasa wa bank ya dunia nadhani zitakuwa bora na zenye viwango🙏🙏🙏Hata zikijengwa unaabiwa hii ni ya tarura, hao tarura wenyewe sasa wanavyojenga barabara unaeza ukasema hivi hawa watu Wako serious kweli!? Yani wanapigwa Yale ma diesel tu sijui ma bitumen halafu wanamwaga makokoto makubwa makubwa[emoji16][emoji16] , mvua ikija kokoto zinasombwa hapo sahau kuhusu maintanace
Huo mradi utapunguza sana shida ya maji kwa kiasi kikubwa.Tusubiri huo mradi wa butimba mambo yanaeza kuwa mazurii
Ni kweli halikuwa hataki watu warundikane Dar akaamua kupeleka huduma muhimu za kijamii kila mkoaMzee baba angemaliza mda wake mwanza ingekuwa kama paris aisee
Achana na hilo zee huwa halijielewi, cha msingi ni kuomba mradi ukamilike tu basi.Makamu wa Raisi mpango aliwaambia kufikia trh 25 kusiwe na shd ya maji mrad uishe
Umetema madini bro, Miji ya kenya mfano mingi ni midogo midogo sana lakini imejengeka vizuri na miundo mbinu ni ya uhakika, tofauti na miji yetu hasa Mwanza, Mwanza ni mji mkubwa tena mkubwa sana lakini miundombinu ipo nyuma mnooo, maji na barabara na recreational areas vimekuwa kama ndoto.Unachosem n kwel kak mwanz ispokua makin itapitwa coz kinachomatter n maendeleo sio wing wa watu ata kun mji kua mkubwa na kun kua umeendelea n vtu viwil tofaut dom wanaboresh miundombinu hasa barbarkw kias kikubw mifumo ya maji nandh ile dhna ya kua tu kua second city na kuridhika haifai kuish nayo kbsa...utabak kua mji mkubw na haun maendeleo
HahaaaaAchana na hilo zee huwa halijielewi, cha msingi ni kuomba mradi ukamilike tu basi.
Njia nne ni jambo la msingi, unapoweka miundo mbinu usiangalie tu sasa bali angalia wakati ujao ata miaka 10 patakuwaje?Kwann njia nne kwmba ina jam san
Hata sasa iyo njia ina magari mengi sana ngoja ijengwe Lami utakuja kusemaNjia nne ni jambo la msingi, unapoweka miundo mbinu usiangalie tu sasa bali angalia wakati ujao ata miaka 10 patakuwaje?
Mwanza ni mji mkubwa sana kwa kigali lakini kigali ni bora kuliko Mwanza.Yes kuna mji kuwa mkubwa halafu Kuna mji kuwa na bora
Had namkumbukaga yule msanii kipind cha mkapa alieimba mwanza zirekebishwe barabara na kweli miaka ya 2000 mwanzon barabara ya Lami kenyata road ilikuwa inaanzia mkuyuni na nyerere road ilikuwa inaanzia nyanguge 😄😄😄😄Mwanza ni mji mkubwa sana kwa kigali lakini kigali ni bora kuliko Mwanza.
Napenda barabara za world bank tu sijui miradi ya tarura huwa haziniporezea muda najua baada ya week au mwezi ni mashimo.I wish wawe wanaona haya Mambo hata Kama zote huwezi kuzifanya kwa mara moja basi Jenga chache chache zenye quality, sio zile za tarura zile ni uchafu uchafu kabisa
Wanaeneo zuri sana pale clinic lakini wamelala tu wakiwazia 10%, pia hapo mbele ya soko la mjini kati hapo pamba road kuna vijumba vya maduka, ambavyo nasikia wamiliki walishalipwa fidia waweke vitu vizuri vya watu kupumzikia na kutuliza mawazo.Hv nyamagana na ilemela wanashindwa kutoa hata bilion 5 kila Moja kutengeneza recreational park