Miradi ya serikali huwa haiaminiki, kun project fulani kabla ya tactic kwasasa nayo ilikuwa chini ya world bank ilitusaidia kupata barabara ya mwaloni, sabasaba na ya mji mwema, nyamagana walipata barabara za mjini kati, ujenzi wa dampo buhongwa na ujenzi wa madaraja ya kisasa mjini kati.Ujenzi wa njia nne itategemeana na upatikanaji wa fedha
Hapa ndo tatizo lilipo, nasikia story zamani Tanga lilikuwa jiji kubwa tu, kimasihara tu ukageuka kuwa mji wa ajabu ajabu hata Mwanza isipo jipanga dodoma can come and take over, Arusha wanaangushwa na stand lakin barabara wanajitahidi tu, maji ni 24/7 everywhere, sisi ni mwanza ni wengi lakini resources zetu ni very limited na unakuwa unaona kabisa hamna mpango wa kuziboresha licha ya kuwa na wingi wa watuHii mirad Hayati angekuwa ameianzisha hata asilimia 5 ingekuwa uhakika kujengwa lakin kwa mama itakuwa ngumu sana na hv sasa hv mama kuja mwanza ameona ngumu baada ya mapokez yake kudorola kipnd cha nyuma kwny ziara zake mwanza
Chanzo cha butimba kinajengwa kuaccomodate watu laki 4 sasa hapo ndio matatizo yanaanza kwann wasijenge kuaccomodate watu milion 1 kwasababu mwanza inakua sanaHapa ndo tatizo lilipo, nasikia story zamani Tanga lilikuwa jiji kubwa tu, kimasihara tu ukageuka kuwa mji wa ajabu ajabu hata Mwanza isipo jipanga dodoma can come and take over, Arusha wanaangushwa na stand lakin barabara wanajitahidi tu, maji ni 24/7 everywhere, sisi ni mwanza ni wengi lakini resources zetu ni very limited na unakuwa unaona kabisa hamna mpango wa kuziboresha licha ya kuwa na wingi wa watu
Tusidanganyike watu binafsi kujenga majumba mazuri, concern yetu iwe kwenye miundombinu iliyo bora, ubora na uzuri wa miundombinu ndio ubora na uzuri wa mji
Mwanza haiwez kuja zidiwa na Dodoma coz mwanza inakua kila dk kila saa na kila mda shd ndio hao policymaker they don't care hyo barabara ya Buhongwa to igoma inachukua kata 4 lakin hamna Lami barabara ya mkuyuni to nilepearch inachukua kata 5 za mkuyuni,butimba,mahina,mhandu na nyakato lakin had sasa ni mavumbi tuHapa ndo tatizo lilipo, nasikia story zamani Tanga lilikuwa jiji kubwa tu, kimasihara tu ukageuka kuwa mji wa ajabu ajabu hata Mwanza isipo jipanga dodoma can come and take over, Arusha wanaangushwa na stand lakin barabara wanajitahidi tu, maji ni 24/7 everywhere, sisi ni mwanza ni wengi lakini resources zetu ni very limited na unakuwa unaona kabisa hamna mpango wa kuziboresha licha ya kuwa na wingi wa watu
Tusidanganyike watu binafsi kujenga majumba mazuri, concern yetu iwe kwenye miundombinu iliyo bora, ubora na uzuri wa miundombinu ndio ubora na uzuri wa mji
Pale buhongwa center unakuta watu wanafanya biashara ya kuuza maji kila siku shida ni kubwa sanaChanzo cha butimba kinajengwa kuaccomodate watu laki 4 sasa hapo ndio matatizo yanaanza kwann wasijenge kuaccomodate watu milion 1 kwasababu mwanza inakua sana
Hata zikijengwa unaabiwa hii ni ya tarura, hao tarura wenyewe sasa wanavyojenga barabara unaeza ukasema hivi hawa watu Wako serious kweli!? Yani wanapigwa Yale ma diesel tu sijui ma bitumen halafu wanamwaga makokoto makubwa makubwaMwanza haiwez kuja zidiwa na Dodoma coz mwanza inakua kila dk kila saa na kila mda shd ndio hao policymaker they don't care hyo barabara ya Buhongwa to igoma inachukua kata 4 lakin hamna Lami barabara ya mkuyuni to nilepearch inachukua kata 5 za mkuyuni,butimba,mahina,mhandu na nyakato lakin had sasa ni mavumbi tu
Yes nakaa buhongwa maji yanatoka mara moja tu kwa wiki, alhamisi usikuPale buhongwa center unakuta watu wanafanya biashara ya kuuza maji kila siku shida ni kubwa sana
mm nipo Buhongwa nyakagwe maji mara 2 kwa week yan shida sana 😄😄😄😄Yes nakaa buhongwa maji yanatoka mara moja tu kwa wiki, alhamisi usiku
Tusubiri huo mradi wa butimba mambo yanaeza kuwa mazuriimm nipo Buhongwa nyakagwe maji mara 2 kwa week yan shida sana
Ile road ndo inataka kunifanya nihamie kiseke, mtu huezi toka ndani umependeza unapiga hatua mbili tatu Kama umevaa kiatu cheusi kinakuwa brown..ila benki ya dunia wanajenga barabara aisee sio mchezo cheki ya sabasaba buswelu halafu hii ya igoma to buhongwa ilitakiwa njia nne
Makamu wa Raisi mpango aliwaambia kufikia trh 25 kusiwe na shd ya maji mrad uisheTusubiri huo mradi wa butimba mambo yanaeza kuwa mazurii
Unachosem n kwel kak mwanz ispokua makin itapitwa coz kinachomatter n maendeleo sio wing wa watu ata kun mji kua mkubwa na kun kua umeendelea n vtu viwil tofaut dom wanaboresh miundombinu hasa barbarkw kias kikubw mifumo ya maji nandh ile dhna ya kua tu kua second city na kuridhika haifai kuish nayo kbsa...utabak kua mji mkubw na haun maendeleoHapa ndo tatizo lilipo, nasikia story zamani Tanga lilikuwa jiji kubwa tu, kimasihara tu ukageuka kuwa mji wa ajabu ajabu hata Mwanza isipo jipanga dodoma can come and take over, Arusha wanaangushwa na stand lakin barabara wanajitahidi tu, maji ni 24/7 everywhere, sisi ni mwanza ni wengi lakini resources zetu ni very limited na unakuwa unaona kabisa hamna mpango wa kuziboresha licha ya kuwa na wingi wa watu
Tusidanganyike watu binafsi kujenga majumba mazuri, concern yetu iwe kwenye miundombinu iliyo bora, ubora na uzuri wa miundombinu ndio ubora na uzuri wa mji
Mwezi upi, hao wanasiasa nao sio wa kuwaamini Sana wanapendaga kutoa matamko tu ambayo kiuhalisia mengine ni ngumu kutekelezekaMakamu wa Raisi mpango aliwaambia kufikia trh 25 kusiwe na shd ya maji mrad uishe
Kwann njia nne kwmba ina jam sanila benki ya dunia wanajenga barabara aisee sio mchezo cheki ya sabasaba buswelu halafu hii ya igoma to buhongwa ilitakiwa njia nne
Wanaongea tu kuwaridhish wananch com sera yao hawan haraka wanaamin mambo yatafanyik ata miak ijayo ila wao wale kwanzMwezi upi, hao wanasiasa nao sio wa kuwaamini Sana wanapendaga kutoa matamko tu ambayo kiuhalisia mengine ni ngumu kutekelezeka
Yes kuna mji kuwa mkubwa halafu Kuna mji kuwa na boraUnachosem n kwel kak mwanz ispokua makin itapitwa coz kinachomatter n maendeleo sio wing wa watu ata kun mji kua mkubwa na kun kua umeendelea n vtu viwil tofaut dom wanaboresh miundombinu hasa barbarkw kias kikubw mifumo ya maji nandh ile dhna ya kua tu kua second city na kuridhika haifai kuish nayo kbsa...utabak kua mji mkubw na haun maendeleo
Nyamagana yakiboreshwa haya mambo yatakuwa mazur kwny barabaraUnachosem n kwel kak mwanz ispokua makin itapitwa coz kinachomatter n maendeleo sio wing wa watu ata kun mji kua mkubwa na kun kua umeendelea n vtu viwil tofaut dom wanaboresh miundombinu hasa barbarkw kias kikubw mifumo ya maji nandh ile dhna ya kua tu kua second city na kuridhika haifai kuish nayo kbsa...utabak kua mji mkubw na haun maendeleo
Huo ni ujenzi wa awamu ya kwanza kulingana na walivyosemaChanzo cha butimba kinajengwa kuaccomodate watu laki 4 sasa hapo ndio matatizo yanaanza kwann wasijenge kuaccomodate watu milion 1 kwasababu mwanza inakua sana
Makamu wa Raisi mpango aliwaambia kufikia trh 25 kusiwe na shd ya maji mrad uisheuo
Iyo wilay ya 3 haikwepek ipo tu ata kabla ya maguful kutak iundwe wilay mpya plan ilikuepo shida n kua ccm hawana harak na ishu ya nyamgan na ilemel kutok tak kupotez mapto n sawa coz we upanue mji na anafaidik mwngne misungw na magu zitaonekn ndo zinafny vzur while sio vitega uchum vyaoNchi hii sijui ina matatizo gani.
Kwenye Masterplan mpya ya Jiji inaonesha Usagara, Fela na Kisesa kuwa sehemu ya Jiji lakini mpaka sasa kiuwekezaji Ilemela na Nyamagana wanayakwepa hayo maeneo kwasababu haziwanufaishi kwa sasa.