Mwanza City: The Photo Gallery

 
Aisee misungwi wamepigwa kitu kizito ...Kwa hyo stendi ya nyashishi inafungwa
 
Kwa hyo stendi ya kule Kwa Kina bronze .itabaki ya kupaki baiskel zile daladala
 
Wamefanya busara na hekima sana kuiacha stendi ya nyabulogoya kuendelea kufanya kazi japo, hata kama stendi ya nyegezi itaanza kufanya kazi, kwasababu kuna watu waliwekeza hapo kujenga maduka na sehemu za kibiashara kama vile migahawa n.k, si vizuri kuterminate kabisaa ni bora waachwe hivyo hivyo na jiji likusanye tena mapato hapo.
 
itafungwa yan mtu aje mjini aongeze gharama ya nauli 500 had nyashishi wakat stand ipo mjn😄😄😄
Stendi ya nyashishi haiwezi kufungwa na ile inategemewa na halmashauri ya misungwi na wanampango ya kuiwekea miundo mbinu bora kabisa.
 
itafungwa yan mtu aje mjini aongeze gharama ya nauli 500 had nyashishi wakat stand ipo mjn
Ubinafsi wa halmashauri za mwanza ..una madhara sometimes...sa hv utaona halmashauri za mwanza hazitaki kuingiliana kabisa Kila mtu na vitu vyake ,bila kujali kuwa Kuna maamuzi mengine Yana undermine wilaya zingine .mfano suala la stendi...
Nyamagana walikataa kabisa stendi kujengwa Usagara kisa ipo misungwi ,hawaoni wanaundermine UKUAJI wa mji kuelekea misungwi ,,the same applies Kwa ilemela na kisesa magu ,......sioni umuhimu wa kuwabania misungwi kiasi hicho .......
Leo ilemela na nyamagana Zinafanya project pasipo kushirikiana kabisa wamesahau ni jiji Moja ...nishawahi msikia mkuu wa mkoa aliyepita anasema anatamani kuiona ilemela inakuwa jiji ,nikajiuliza kuna umuhimu Gani wa kuwepo jiji la mwanza .au mwanza jiji haina ilemela ndani yake
 
Stendi ya nyashishi haiwezi kufungwa na ile inategemewa na halmashauri ya misungwi na wanampango ya kuiwekea miundo mbinu bora kabisa.
Sa hapo nyanshishi nani atabaki wakati nyabulogoya itakuwa active
 
Sa hapo nyanshishi nani atabaki wakati nyabulogoya itakuwa active
Kuna gari za route ya misungwi zitaendelea kuweka kambi hapo, kuna watu waviunga vya nyashishi lazima wataanzia safari zao hapo either way kurudi town au kwenda huko misungwi na ngudu kwimba.
 
Nahisi alimaanisha kimapato
 
Mchawi mapato tu, kila Halmashauri inataka sources zake za mapato
 
Yaani stendi ya mwanza ijengwe usagara hio itakuwa akili au matope?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…