Kumzuia mtu kujenga ni kitu kigumu ...serikali itengeneze policy maeneo yote mjini yapimwe ,na yawe chini ya mamlaka ya usimamizi.. viwanja vya kujenga nyumba binafsi viwe bei juu kuliko viwanja vya kujenga majengo ya apartment.ili mtu aone gharama ya ujenzi binafsi kuliko kununua apartmentHuwezi kupata mwekezaji kwa style hii atamuuzia nyumba nani.
Watu wakizuiwa kujenga ndio soko linakuwepo.
Hata supermarket hupata soko kama hakuna masoko ya kienyeji
Duh.....noma ,,,,,,ngoja nijichange bwana nataka nikachek eneo nje ya jiji karibu na ziwa huko sangabuye..Nina MTU tayari anafuatlia kila kitu, ndio nikagundua mtandao wa hao matapeli siyo wa kitoto na Ni watu wengi mnoooo. Ingawa wako mahabusu, lakini nimegundua jamaa hawalali mahabusu, maana juzi Luna mmoja alinipigia simu SAA 1 usiku wakati Mimi najua yumo selo.
Sangabuye sijajua Ilemela wamepima viwanja vingaoi. Ingawa idadi ya watu waliochukua fomu za kununua fomu mpaka siku ya mwisho ilifika 2700.Duh.....noma ,,,,,,ngoja nijichange bwana nataka nikachek eneo nje ya jiji karibu na ziwa huko sangabuye..
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Viwanja vilivyopimwa ni 3500 ..,,kati ya hao 2700 Kuna wengine wamenunua viwili viwili.. however Sina mpango wa kuchukua maeneo ya halmashauriSangabuye sijajua Ilemela wamepima viwanja vingaoi. Ingawa idadi ya watu waliochukua fomu za kununua fomu mpaka siku ya mwisho ilifika 2700.
Kwanini?Viwanja vilivyopimwa ni 3500 ..,,kati ya hao 2700 Kuna wengine wamenunua viwili viwili.. however Sina mpango wa kuchukua maeneo ya halmashauri
Bugando pale town?Kwanini?
Kuna jamaa yangu yeye ana kiwanja maeneo hayo ya Bugando ndio anataka kuniuzia, so nitataka nijue kumekaa vipi?
Basi tu sivipendiKwanini
Ndio kuzuia kwenyewe hukoKumzuia mtu kujenga ni kitu kigumu ...serikali itengeneze policy maeneo yote mjini yapimwe ,na yawe chini ya mamlaka ya usimamizi.. viwanja vya kujenga nyumba binafsi viwe bei juu kuliko viwanja vya kujenga majengo ya apartment.ili mtu aone gharama ya ujenzi binafsi kuliko kununua apartment
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mleteni Binagi hapa, tumchangie anunue droneItabidi niwe naweka kambi, pia nitamcheki george binagi hatupe updates za soko kuu la mwanza asee, kupitia you tube.
LwanhimaKata gani mmezalisha
Huyu binagi si aliwahi kuwa mtangazaji wa city fmMleteni Binagi hapa, tumchangie anunue drone
Isela huko wanakotaka kujenga chuo kipya.Bugando pale town?
Si huku .....nadhani maeneo ambayo yanakua...baada ya muda patakuwa mjiniIsela huko wanakotaka kujenga chuo kipya.
Nadhani huwa anatumia simu, mzee wa BMG 😂😂😂Mleteni Binagi hapa, tumchangie anunue drone
Nomaa sana, yaani usafiri ukiwepo tu Mji tayariSi huku .....nadhani maeneo ambayo yanakua...baada ya muda patakuwa mjiniView attachment 2381454
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kuna kitu hakikuwepo sawaKwenye ule mradi niliouleta hapa wa kona ya natta, pale daraja naona halmashauri wameandika kwenye hayo mabati chakavu, BOMOA, SITISHA UJENZI.