Mwanza City: The Photo Gallery

Nadhn ulikua hujui ndo maan ulizan NHC wanajenga nyumb tu kawaid ila hayo na majengo mengne hapo mwanz n ya NHC
Naona umeanza kuchanganya madesa, au umeanza utani hayo majengo na hizo hotel wamiliki wake nawajua. Alafu mali za nyanza corporation union siku hizi nawaona nyie watu wa NHC mnaanza kutia manembo yenu mtadhan mlijenga.
 
Hapo ndio nimeelewa๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Umeenda kutafuta picha chokonozi wewe mikidadi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
We mtu wa misungwi .hupaswi kuzungumzia mwanza..
soon mnahamishiwa mkoa Mpya wa kwimba ..baada sensa ya watu na makazi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huwa nasema mwanza ni ilemela na nyamagana, nje ya hapo sio mwanza coz kuna siku, huko sengerema, misungwi, magu au ata kwimba wanaweza kuwa mkoa mpya lakini sio ilemela na nyamagana.
 
Huwa nasema mwanza ni ilemela na nyamagana, nje ya hapo sio mwanza coz kuna siku, huko sengerema, misungwi, magu au ata kwimba wanaweza kuwa mkoa mpya lakini sio ilemela na nyamagana.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Utamuweza huyo jamaa, hamna mtu wa misungwi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ