Mwanza City: The Photo Gallery

Na lile jengo la ghana wameshafunika floor ya nane wanaweka matoleo ya floor ya tisa, mkumbuke hili jengo lina underground.
 
Ghana na kirumba kuna magorofa yanajengwa sema ni mafupi.
Sijawahi ona tofauti ya Ghana ya kirumba.....ni mitaa ambayo huwezi itenganisha kama ilivyo buzuruga na mecco,.butimba na mkuyuni,mhandu na nyakato..ni mitaa ambayo inaingiliana ..
Rock city mall unaweza chagua uiweke Ghana au kirumba

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Yanga na Simba sidhani kuna timu inayoweza kuifikia Pamba FC ya miaka hiyo.Natamani ile timu irudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…