Mtu anakaa buhongwa anasema Yuko nyamagana [emoji28][emoji28]..na walioko pale isamilo wasemeje
hakika bwiru wanaweza kupambana na capripoint tatizo barabara za mitaani ndio zinawaangusha, lakini bwriru ni No.2 kwa makazi bora ukitoka capripoint🙏🙏🙏Kwangu mimi huwa naona hata capripoint haioni ndani kwa Bwiru.
View attachment 2375271
View attachment 2375272
View attachment 2375274
Baadhi ya nyumba za Bwiru
Ilemela wana utajiri wa ardhi, pia maeneo yao mengi yamepimwa pia ardhi yao ni tambarare na imechukua eneo kubwa la ziwa.Beach zote ambazo watu wanaweza kuogelea ziko Ilemela.
Dar tech mwanza wataanza ujenzi wa chuo 30b sio mchezo.
Marine rescue centre itajengwa ilemela.
Na kuna vyuo vingi vimechukua viwanja ilemela.
Ilemela kuna future nzuri wakijipanga.
hakika, respect bro.Mimi nilisafiri zamani sana, kulikuwa kuna gari moja tu ikienda unasubiri irudi, dah maisha haya
usalama upo mkuu, hiyo ni miradi ambayo ilishaidhinishwa.Bashungwa kaondolewa Tamisemi, tactic kuna usalama kweli?
nipe connection na mimi nipate fursa ya kuwachana, kama kuna sehemu ya maoni nambie mkuu.Mimi nitaanza kuwachana kwenye post zao za vyoo/ madarasa na vituo vya afya. Sio kitu cha kujibrag kwenye halmashauri zenye mapato
Igombe siku hizi magari mengi, shida ilikuwa Kayenze kulikuwa na waarabu fulani pale Nera walikuiwa wanamiliki bus linaitwa Digidigi, nakumbuka tokea ninaoma nursery pale KKKT Makongoro mpaka naaliza chuo mzigo bado unapiga kazi.
Si ndio nyie ..mnakaa sahwa ya juu ....kwamba mtu anaishi bulale ndani ndani naye anasema yupo nyamagana, jijini mwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
hizi story za timu ya pamba huwa nazipata kwa mshua tu, tupe madini ya Mwanza ya zamani nasi wadogo zako tufaidi,ili tujue tumetoka wapi, tupo wapi na tunaelekea wapi? 🙏 🙏 🙏 🙏Hivi hiki kizazi cha sasa wanajua ule uwanja wa CCM kirumba tulikuwa tunaujaza kuangalia mechi za Pamba?.
Simba na Yanga zilikuwa hazisogezi pua.
Na je wanajua pamba ilishawahi kuwa bingwa wa Tanzania ikashiriki klabu bingwa Afrika ikaweka rekodi kwa kuifunga timu moja ya Madagascar 17-0.
nipe connection na mimi nipate fursa ya kuwachana, kama kuna sehemu ya maoni nambie mkuu.
Bubu alikuwa ndio nani? tupeni madini ya zamani.🙏🙏Noma sana enzi za Bubu (RIP).
Alikuwa mlinzi wa uwanja wa CCM Kirumba,Bubu alikuwa ndio nani? tupeni madini ya zamani.🙏🙏
mimi naishi Ilemela japo mabibi na mababu wamezaliwa hapo mtaa wa mission karibu na rufiji.Si ndio nyie ..mnakaa sahwa ya juu ....
Hii si ramani tu .au Kuna nyumba hapo mnaionaView attachment 2376318
View attachment 2376321
Halafu watu wa nyamagana wanataka wapangishwe kwa bei za igogo na mabatini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna stendi iko bize kama hiyo ukitoa Magufuli mbezi terminal!Nyegezi..saa 11 alfriji View attachment 2376350
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hao jamaa huwa wakiweka hivyo ujue ujenzi anytime
Hili jengo ni zuri sana pia ni kubwa👍👍Ujenzi wa jengo la halmashauri. Ya..wilaya ya ilemela View attachment 2376355View attachment 2376356
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huwa nasema Ilemela ni kama Kinondoni kwa Dar, na Nyamagana ni mixer Ilala na Temeke [emoji13]View attachment 2376318
View attachment 2376321
Halafu watu wa nyamagana wanataka wapangishwe kwa bei za igogo na mabatini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]