Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Hayo maeneo uliyoyataja ilemela na yananuka na Ngono sanaNyamagana residential area nzuri ni capripoint, mwananchi, isamilo na nera pengine pakawaida tu, lakini ilemela ni simba wa maeneo bora hapa Tanzania kama, bwiru, nyasaka, pasiansi, lumala, kiseke, ilemela, malaika area, kirumba, nyamhongolo, mecco, nundu, kangaye, buzuruga na buswelu nenda hayo maeneo kalinganishe na utopolo wa nyamagana na hayo maeneo ya ilemela yamepitiwa na lami safi standard hakika ilemela ni taswira ya makazi bora hapa Tanzania.
Ni maoni yako ...ila kinachosababisha nyamagana isionekane sana maeneo yake yenye nyumba Kali yamejificha kama majengo mapya, kanyerere,mhandu,n.kNyamagana residential area nzuri ni capripoint, mwananchi, isamilo na nera pengine pakawaida tu, lakini ilemela ni simba wa maeneo bora hapa Tanzania kama, bwiru, nyasaka, pasiansi, lumala, kiseke, ilemela, malaika area, kirumba, nyamhongolo, mecco, nundu, kangaye, buzuruga na buswelu nenda hayo maeneo kalinganishe na utopolo wa nyamagana na hayo maeneo ya ilemela yamepitiwa na lami safi standard hakika ilemela ni taswira ya makazi bora hapa Tanzania.
Viongozi hawajui tu kuwa watu wa mwanza wanapenda starehe ambazo wao kama serikali zingewaingizia mapato makubwa tu. Wanakuja watu wengine kabisa na mawazo ya kupiga mpunga wanazichota nyingi wanasepa nazo. Wazo la fiesta aliyebuni si anajidai. Upande wa serikali ni kuweka miundo mbinu saaaafi kwa ajili ya matamasha haya. Kila mwaka wanapelekwa ccm kirumba ilinyesha mvua si itakuwa shida. Ilitakiwa mtu unaburudika huku umekaa zako na safari au castle mezani na radha ya tamasha unai-feel.
Acha ujinga😂😂 hayo maeneo yapo safi na hayana uchafu kabisa ni maeneo ya kishua ukitoa kirumba ndio maasi yote na ngono na kila kitu ndio mahala pake kirumba ndio kila kitu mkuu kwa kila kitu.Hayo maeneo uliyoyataja ilemela na yananuka na Ngono sana
Kahama sio vumbi kuna lami inakaribia ilalila centre, nyie nyamagana pambaneni na hali zenu😂😂😂Sasa buhongwa kwanza Inaitwa periurban ..ni maeneo yanayoendelea huwezi fanyia judgement..ukitaka nifanyie judgement maeneo kama hayo mi nitaiangalia kahama kule buswelu kulivyo na mavumbi
Nipo nyamagana na hapa umrtupiga msumari wa Motoo na Mimi nimekubali upo sahihi KakaNyamagana residential area nzuri ni capripoint, mwananchi, isamilo na nera pengine pakawaida tu, lakini ilemela ni simba wa maeneo bora hapa Tanzania kama, bwiru, nyasaka, pasiansi, lumala, kiseke, ilemela, malaika area, kirumba, nyamhongolo, mecco, nundu, kangaye, buzuruga na buswelu nenda hayo maeneo kalinganishe na utopolo wa nyamagana na hayo maeneo ya ilemela yamepitiwa na lami safi standard hakika ilemela ni taswira ya makazi bora hapa Tanzania.
Nilikuwa naserebuka kwa step ili nisiachiwe manyoya na watoto wa mjini😂😂😂 kulikuwa hakuna sehemu ata ya kugeuza shingo.
Marekebisho makubwa yafanyike Nyamagana coz baada ya muda Ilemela mtaisikia ipo juu yenu kwa kila kitu😄😄😄Ni saw kabisa . ...hatubishani ila tunajaribu kufanya comparison na kujua wapi panafaa kufanyiwa marekebisho Zaid
Hakika hatuwezi kufanya hivyo sisi wote ni ndugu tunapeana changamoto tu🙏🙏🙏Tusitume picha mbovu image ya Uzi itaharibika🤣🤣🤣🤣🤣
Sawa mkuuHakika hatuwezi kufanya hivyo sisi wote ni ndugu tunapeana changamoto tu🙏🙏🙏
Sehemu zenye watu wengi hivyo asee me nilishashindwagaNilikuwa naserebuka kwa step ili nisiachiwe manyoya na watoto wa mjinikulikuwa hakuna sehemu ata ya kugeuza shingo.
We uko mpakani na misungwi huko unasema uko nyamaganaNipo nyamagana na hapa umrtupiga msumari wa Motoo na Mimi nimekubali upo sahihi Kaka
Mtu anakaa buhongwa anasema Yuko nyamagana..na walioko pale isamilo wasemeje
Acha ujingahayo maeneo yapo safi na hayana uchafu kabisa ni maeneo ya kishua ukitoa kirumba ndio maasi yote na ngono na kila kitu ndio mahala pake kirumba ndio kila kitu mkuu kwa kila kitu.
Kirumba ni ilemela mkuukwan kirumba haipo nyamagana?
We uko mpakani na misungwi huko unasema uko nyamagana....walioko hapa kwenye apartment za kishimba wasemeje...ukiwa na hela huwezi sema nyamagana Kuna vumbi ....hvi ushawahi kaa nyegezi huku juu ukaona kulivyo na upepo flani hv amazing na kumetulia
Vipi mkuu meli imeshaanza kuondoka? Wakulungwa tunakutakia safari njema ya huko bukoba.mm nipo nyamagana ila ilemela wanakuja kasi sana na maeneo mengi ya ilemela yamejengeka sana huwez kuta mabati meupe mengi
Nyamazobe si maeneo ya shule ya secondary mkolani kama unaenda saut sa Kuna ubaya Gani pale ..huko nyegezi ni pazuri sawa ila swali je ushaenda huko nyuma ya stendi mpaka nyamazobe?