Ila wazee tuseme ukweli li uwanja la CCM kirumba lipo Kama gofu hivi hao CCM hawezi kulifanyia renovation hata kidogo? Atleast hata kulipaka rangi?Ebu tazama nyuma ya uwanja hizo slums..View attachment 2375220
😄😄😄 Ndio mzee kuna sehemu za Bata aisee ila magu alikuwa na maono sanaUnaenda bukoba nini
Umesema kweli kabisa, na kirumba haina vumbiKumbe unaangalia eneo dogo tu la kirumba milimani mimi nakupinga kabisaa kirumba ipo juu kuliko kata zote za nyamagana ukiacha kata za cbd, kuna kila aina ya maisha hapo kirumba kuanzia masikini, watu wakaida na matajiri, kirumba ina kila facilities kuanzia mall, uwanja wa mpira wa miguu, n.k pia ni eneo ambalo lipo planned toka zamani za kale, kirumba ndio kiini cha starehe zote jiji la mwanza[emoji7][emoji7][emoji7]
Nipo buhongwa center kabisa karibu na chuo cha vetaMh ..we umekaa mkolani gani yenye uswazi, buhongwa Gani ,labda butimba ziwani naweza kukubalia Kwa sababu inapakana na mkuyuni ...
Anapiga picha maeneo mapya ya bugarika😂😂😂, Maeneo ya ilemela 90% is very awesome😍😍😍Achana na huko juu, zile squarter zinazoitazama Natta huzijui?
Huyo lofa huwa napambana naye sana nikishirikiana na mikdde.Bro siku mingi sana, huyo the sunk cost fallacy simpendi Nahisi anajua
[emoji28][emoji14][emoji14]mi siongelei facilities..Nazungumzia aina ya makazi ya hapo kiyungi, kabuhoro,kigoto,magomeni , kitangiri,nyamanoro,Ghana,kuja bigbite...Kumbe unaangalia eneo dogo tu la kirumba milimani mimi nakupinga kabisaa kirumba ipo juu kuliko kata zote za nyamagana ukiacha kata za cbd, kuna kila aina ya maisha hapo kirumba kuanzia masikini, watu wakaida na matajiri, kirumba ina kila facilities kuanzia mall, uwanja wa mpira wa miguu, n.k pia ni eneo ambalo lipo planned toka zamani za kale, kirumba ndio kiini cha starehe zote jiji la mwanza[emoji7][emoji7][emoji7]
Nakukubali sana mzee wa informationAisee nipo mv Victoria hapa kazi tu humo ndani balaa kuna restaurant za hatar viwanja balaa cjui burigi chato cjui ile meli ikikamilika si itakuwa balaa na utalii tosha 😄😄😄 abiria ni wengi sana kwny meli
Au utajiwe igoma nyakato ambako viwanda vyote vikubwa viko hapo ..au igogo ambako Kuna factories na hospital kubwa Kanda ya ziwa ....uzuri ni kwamba nyamagana Iko diversity Kila mtaa una facilities kubwaKumbe unaangalia eneo dogo tu la kirumba milimani mimi nakupinga kabisaa kirumba ipo juu kuliko kata zote za nyamagana ukiacha kata za cbd, kuna kila aina ya maisha hapo kirumba kuanzia masikini, watu wakaida na matajiri, kirumba ina kila facilities kuanzia mall, uwanja wa mpira wa miguu, n.k pia ni eneo ambalo lipo planned toka zamani za kale, kirumba ndio kiini cha starehe zote jiji la mwanza[emoji7][emoji7][emoji7]
Kirumba ni eneo la mwanzo mwanzo hapa tanzania kupata mabarabara ya lami 1942.Umesema kweli kabisa, na kirumba haina vumbi
Sasa buhongwa kwanza Inaitwa periurban ..ni maeneo yanayoendelea huwezi fanyia judgement..ukitaka nifanyie judgement maeneo kama hayo mi nitaiangalia kahama kule buswelu kulivyo na mavumbiNipo buhongwa center kabisa karibu na chuo cha veta
Ni saw kabisa . ...hatubishani ila tunajaribu kufanya comparison na kujua wapi panafaa kufanyiwa marekebisho ZaidOya toeni habari ya nyamagana vs ilemela itawapa credit maadui. Sisi tujadili fursa zilizopo mkoa wa mwanza kwa ujumla tukiangazia zaidi Jiji na manispaa ya ilemela kwani ndo milango ya yoyote ajae mwanza
Tusitume picha mbovu image ya Uzi itaharibika🤣🤣🤣🤣🤣Ni saw kabisa . ...hatubishani ila tunajaribu kufanya comparison na kujua wapi panafaa kufanyiwa marekebisho Zaid
Huwezi amini haka ka ubishi kameniongezea vitu kichwani, sometimes let's agree to disagreeOya toeni habari ya nyamagana vs ilemela itawapa credit maadui. Sisi tujadili fursa zilizopo mkoa wa mwanza kwa ujumla tukiangazia zaidi Jiji na manispaa ya ilemela kwani ndo milango ya yoyote ajae mwanza
Nyamagana residential area nzuri ni capripoint, mwananchi, isamilo na nera pengine pakawaida tu, lakini ilemela ni simba wa maeneo bora hapa Tanzania kama, bwiru, nyasaka, pasiansi, lumala😍😍, kiseke, ilemela, malaika area, kirumba, nyamhongolo, mecco, nundu, kangaye, buzuruga na buswelu nenda hayo maeneo kalinganishe na utopolo wa nyamagana na hayo maeneo ya ilemela yamepitiwa na lami safi standard hakika ilemela ni taswira ya makazi bora hapa Tanzania.Nipo buhongwa center kabisa karibu na chuo cha veta
Hapo nimekupata boss .[emoji28]sema nimezoea kuchallenge watu ,sijawahi kubali direct bila kuleta ubishi kidogo [emoji16]Tusitume picha mbovu image ya Uzi itaharibika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa man lkn Ilemela kimakazi huwezi kulinganisha na popote mkuu.Oya toeni habari ya nyamagana vs ilemela itawapa credit maadui. Sisi tujadili fursa zilizopo mkoa wa mwanza kwa ujumla tukiangazia zaidi Jiji na manispaa ya ilemela kwani ndo milango ya yoyote ajae mwanza