Tazama hiyo nyumba kwa nyuma japo ni mliman lkn ni standard, kirumba unataka kuilinganisha na kata gani huko Nyamagana ukitoa kata za cbd.Mitaa ya huko kirumba . ilemela..ni tabu tupu.huyu mwanasiasa anatembelea wajumbe wakeView attachment 2375199
Mikdde nakuambia hivi hapo hamna mkuu wa mkoa utakuja kuniambia na tutakutana hapa kwenye kijiwe chetu, tuombe tu uzima.Hii ni mitazamo tu ..tumpe muda kiongozi wetu
Tunafanana kaka Mimi pia sipendi na hata nilipitiwa page zao nakutana na hii kitu inaniboga sana basi tuKatika vitu ambavyo sipendi viongozi wajisifie navyo ni madarasa na vitu vya Afya...
Yaan huwa wananikera kweli...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
At the same time hiyohoyo serikali inakuwa inajiwekea malengo ya kukusanya matrilioni ya kodiHapo Kwenye suala la Kuomba dual carriage wabunge wanajitahidi sema serikali inafanya feasibility study miaka nenda rudi
Ina ustandard gan .hv kaka ulishawahi kupanda .milima ya pale kirumba na Ghana ukajionea Hali ilivyo ..ni uswazi mtupu .na nyamagana ukitoa mabatini,igogo ,mbugani,Na mkuyuni . maeneo yaliyobaki yako vizuri tu ..Tazama hiyo nyumba kwa nyuma japo ni mliman lkn ni standard, kirumba unataka kuilinganisha na kata gani huko Nyamagana ukitoa kata za cbd.
Ndo achukue mazuri ya humu akayafanyie kazi, Mimi binafsi namwimini sana kama kijana mwenye exposure kubwa ila namshauri wenzie wasimvute sana kwenye siasa za kuongea ongea bila tija.Huyo sima costantine yumo hapa kwwnye huu uzi๐๐๐
Bugarika si hukuMnataka kulinganisha nyumba a Kirumba na Igogo/ Bugarika?๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃDiwani kata ya mhandu ,,,kajenga lami ya kupita mlangoni kwake Bismarck pale.
Watakusanya mapato kwenye madarasa / vyoo na vituo vya afya ๐ ๐ ๐ ๐At the same time hiyohoyo serikali inakuwa inajiwekea malengo ya kukusanya matrilioni ya kodisasa hayo mapato yanaongezekaje bila miundombinu rafiki?
Achana na huko juu, zile squarter zinazoitazama Natta huzijui?
Bro siku mingi sana, huyo the sunk cost fallacy simpendi Nahisi anajuanipo huwa nafuatilia mara nyingi wakitokea vichaa kama kina The Sunk Cost Fallacy wakipotosha tunawaweka kwenye mstari...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hawana exposure ata mimi hii kitu huwa naichukia napenda nikute miradi ya barabara, miradi mikubwa mikubwa.Tunafanana kaka Mimi pia sipendi na hata nilipitiwa page zao nakutana na hii kitu inaniboga sana basi tu
Mkolani, igoma, butimba, buhongwaIna ustandard gan .hv kaka ulishawahi kupanda .milima ya pale kirumba na Ghana ukajionea Hali ilivyo ..ni uswazi mtupu .na nyamagana ukitoa mabatini,igogo ,mbugani,Na mkuyuni . maeneo yaliyobaki yako vizuri tu ..
Ebu tazama nyuma ya uwanja hizo slums..Mnataka kulinganisha nyumba a Kirumba na Igogo/ Bugarika?๐
Ila njia nne ikipita, mandhari yatabadilika na haya maeneo yatakuwa na muonekano mzuri kidogoMkolani, igoma, butimba, buhongwa
Mh ..we umekaa mkolani gani yenye uswazi, buhongwa Gani ,labda butimba ziwani naweza kukubalia Kwa sababu inapakana na mkuyuni ...Mkolani, igoma, butimba, buhongwa
Unaenda bukoba niniAisee nipo mv Victoria hapa kazi tu humo ndani balaa kuna restaurant za hatar viwanja balaa cjui burigi chato cjui ile meli ikikamilika si itakuwa balaa na utalii toshaabiria ni wengi sana kwny meli
Kumbe unaangalia eneo dogo tu la kirumba milimani mimi nakupinga kabisaa kirumba ipo juu kuliko kata zote za nyamagana ukiacha kata za cbd, kuna kila aina ya maisha hapo kirumba kuanzia masikini, watu wakaida na matajiri, kirumba ina kila facilities kuanzia mall, uwanja wa mpira wa miguu, n.k pia ni eneo ambalo lipo planned toka zamani za kale, kirumba ndio kiini cha starehe zote jiji la mwanza๐๐๐Ina ustandard gan .hv kaka ulishawahi kupanda .milima ya pale kirumba na Ghana ukajionea Hali ilivyo ..ni uswazi mtupu .na nyamagana ukitoa mabatini,igogo ,mbugani,Na mkuyuni . maeneo yaliyobaki yako vizuri tu ..