Mnapagawishwa na upya au .... nyamhongolo still inadeserve kuwa the best terminal ..Kwa sababu zifuatazo
1.render yak Ina mvuto na Iko modern zaidi
2.ina facilities nyingi kuliko nyegezi (parking ya malori,hotel,na ,business complex na terminal building.
Kuhusu vumbi la pale njee.ni suala la muda na litafanyiwa kazi muda wowote
mkuu upo sahihi kwa upande wako lakini hiyo kitu ya nyegezi achana nayo ni hatari na nusu.Mnapagawishwa na upya au .... nyamhongolo still inadeserve kuwa the best terminal ..Kwa sababu zifuatazo
1.render yak Ina mvuto na Iko modern zaidi
2.ina facilities nyingi kuliko nyegezi (parking ya malori,hotel,na ,business complex na terminal building.
Kuhusu vumbi la pale njee.ni suala la muda na litafanyiwa kazi muda wowote
lakini malumbano yao yanatuchelewesha sana.Mmetumia factors gan kusema jengo halifai .... mwonekano au facilities za ndani ..ikumbukwe kuwa magufuli alisema lijengwe jengo la muda wakati wakitafuta bajeti ya jengo kubwa .. limejengwa Hilo la muda still bado Kuna misunderstanding .sioni tatizo kwenye jengo zaidi ya political driven conflict..
Jengo liwekewe partition likae poa litumike Kwa muda kabla ya kuanza kujenga terminal 2 ..hamna wa kulaumiwa .. halmashauri Zina haki ya kudai jengo Kwa sababu zimejenga Kwa pesa zao ..Kwa hyo TAA ni lazima wabainishe ni namna Gani pesa za halmashauri zitarudishwa kabla ya kupewa jengo
alisababisha nikala ban ya mwezi kwa kupost lipicha lake akiwa na jezi ya mbeya city anaoneka ni mhandisi aliyekosa kazi akaishia kulima maparachichi na kukatia watu ticket pale njombe kama sio mbeya mjini ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃMmepata jina lake, kweli wahuni siyo watu wazuri
Nitajie facilities zilizopo nyegezi terminalinaonekana we ni wa ilemela mkuu, ila sisi wa nyamagana tunasema nyegezi ni international kwelikweli
mikdde wewe unataka kuingiza na hostel na sehemu za mahegesho ya malory hicho ndio kigezo chako kikubwa lakini tuchukue hizo facillities bila kuingiza mahegesho ya malori stendi kama stendi.Nitajie facilities zilizopo nyegezi terminal
1. ina parking ya magari madogo aka daladala na pia hiyo parking ipo classic kama kigorofa fulani hivi.Nitajie facilities zilizopo nyegezi terminal
Kuhusu hotel pale nyegezi ndan ya mita 200 kuna hotel na lodge nyingi sana kitu ambacho nyamhongolo hamna hotelinaonekana we ni wa ilemela mkuu, ila sisi wa nyamagana tunasema nyegezi ni international kwelikweli
halafu kingine nyegezi pale kuna lounge mbili ya abiria kusubiria usafir wakat ilemela hawana1. ina parking ya magari madogo aka daladala na pia hiyo parking ipo classic kama kigorofa fulani hivi.
2.ina njia mbili za kuingia na kutokea magari
3. ina sehemu kwa ajili ya wakina mama wenye watoto wadogo na wanaonyonyesha
4.location yake hiyo kitu ni hamsha hamsha
5.bango la stendi ya nyegezi imetiwa nakshi ya kuvutia sana.
N.b hizo ni unique features za nyegezi terminus
nyingine wanafanana kama mabenki, maduka, sehemu za restaurants n,k
ndio maana wakaweka hostel pale lakini ndani ya muda mfupi hayo maeneo ya nyamhongolo yatakuwa na vibe la hatariKuhusu hotel pale nyegezi ndan ya mita 200 kuna hotel na lodge nyingi sana kitu ambacho nyamhongolo hamna hotel
ilemela wanayo moja kama sikosei mkuu.halafu kingine nyegezi pale kuna lounge mbili ya abiria kusubiria usafir wakat ilemela hawana
Picha zinazungumzailemela wanayo moja kama sikosei mkuu.
Hizo facilities zote nyamhongolo zipo1. ina parking ya magari madogo aka daladala na pia hiyo parking ipo classic kama kigorofa fulani hivi.
2.ina njia mbili za kuingia na kutokea magari
3. ina sehemu kwa ajili ya wakina mama wenye watoto wadogo na wanaonyonyesha
4.location yake hiyo kitu ni hamsha hamsha
5.bango la stendi ya nyegezi imetiwa nakshi ya kuvutia sana.
N.b hizo ni unique features za nyegezi terminus
nyingine wanafanana kama mabenki, maduka, sehemu za restaurants n,k
acha kupiga picha upande upande ingekuwa poa kama ungechukua na stendi ya nyegezi yote tufanye fair play, hii stendi yenu ya ilemela haiwezi lingana na nyegezi nakuambia.Picha zinazungumza
Ukiangalia hapa nyamhongolo Iko smart ad unique .. nyegezi just imebanana na majengo yake design ni mbovu..View attachment 2373938View attachment 2373939
hawana hata Moja wanazile waiting areas kwa eneo la kuzunguka stand zipo 3 wameweka mabenchiilemela wanayo moja kama sikosei mkuu.
ilemela bus terminus wana njia moja ya kuingia na hiyo ndio ya kutokea, pia parking ya magari madogo ni vumbi na matope,pia huko hakuna vibes.Hizo facilities zote nyamhongolo zipo
hakika mkuu nilikuwa nimefananisha na waiting areas ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ hakika nyegezi ndio stendi pekee yenye lounge na night club hapa Tanzania๐๐๐hawana hata Moja wanazile waiting areas kwa eneo la kuzunguka stand zipo 3 wameweka mabenchi
Nyegezi waiting area wanazo 5 lounge za kusubir abiria wanazo 2 maeneo ya bank wanazo 6 supermarket kama 4hakika mkuu nilikuwa nimefananisha na waiting areas ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ hakika nyegezi ndio stendi pekee yenye lounge na night club hapa Tanzania๐๐๐