Mwanza City: The Photo Gallery

Ndio muendeleze na nyinyi, nimepambana sana kwenye thread ya mwanza, nilichoka tu halafu wali complicate ku upload picha, do nikawa pissed off
Mimi nilikujulia skyscraper city tukaja humu na mwishowe watsap tuna group letu. Ni mpambanaji sana na Kuna kitu nilijifunz kwako. Hata kwenye huu Uzi Kuna vitu ulikuwa ukiturekebisha. Tunakushukru mkuu🙏🙏
 
Isanzu iko sehemu gani
 
Ndio muendeleze na nyinyi, nimepambana sana kwenye thread ya mwanza, nilichoka tu halafu wali complicate ku upload picha, do nikawa pissed off
Overland ndo Nani au ndo laizerg , mana wewe kama sikosei ulikuwa unatumia jina la Rock city mi nilikuwa natumia sirg ha haaaa, daah Ila hzi thread za Mwanza , tumetoka nazo mbali , kuna mwanangu Mkuu wa chuo , naye sjui alipoteleaga wapi , moja ya watu walipambana Sana kwenye thread za Mwanza Vs Arusha zile za mwanzo 😁😁
 
Mkuu wa chuo mwamba kweli kweli
 
@Mkuu wa chuo tunapambana nae tena na Sunk huko kwenye uzi wa Kahama Vs Njombe
 
Ndio muendeleze na nyinyi, nimepambana sana kwenye thread ya mwanza, nilichoka tu halafu wali complicate ku upload picha, do nikawa pissed off
Katika kutafuta tafuta habari kuhusu project za Mwanza huko Google ndipo siku moja nikakutana na Skyscraper dah nilifarijika sana kukutana na projects kibao kuhusu Mwanza...
Pia kwa utafiti mdogo niliyofanya Kwa mikoa ya Tanzania Mwanza ilikua inashika nafasi ya pili kwa posts/threads nyingi nyuma ya Dar es salaam....
 
Stendi ya nyegezi ni balaa asee inatamanisha kuiangalia mara mbili mbili hakika ni international bus terminal[emoji7][emoji7][emoji7]
Mnapagawishwa na upya au .... nyamhongolo still inadeserve kuwa the best terminal ..Kwa sababu zifuatazo
1.render yak Ina mvuto na Iko modern zaidi
2.ina facilities nyingi kuliko nyegezi (parking ya malori,hotel,na ,business complex na terminal building.
Kuhusu vumbi la pale njee.ni suala la muda na litafanyiwa kazi muda wowote
 
Mmetumia factors gan kusema jengo halifai .... mwonekano au facilities za ndani ..ikumbukwe kuwa magufuli alisema lijengwe jengo la muda wakati wakitafuta bajeti ya jengo kubwa .. limejengwa Hilo la muda still bado Kuna misunderstanding .sioni tatizo kwenye jengo zaidi ya political driven conflict..
Jengo liwekewe partition likae poa litumike Kwa muda kabla ya kuanza kujenga terminal 2 ..hamna wa kulaumiwa .. halmashauri Zina haki ya kudai jengo Kwa sababu zimejenga Kwa pesa zao ..Kwa hyo TAA ni lazima wabainishe ni namna Gani pesa za halmashauri zitarudishwa kabla ya kupewa jengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…