Mwanza City: The Photo Gallery

Kuna tatizo kubwa kwenye decentralization of power...ugatuzi wa madaraka ..inafikia taasisi yenye mamlaka na utaalamu kwenye masuala husika .inabishana na tawala za mikoa au halmashauri..ifike hatua halmashauri zetu ziache kuangalia tamaa za mapato Bali zijikite katika kuimarisha ubora wa miji yetu . halmashauri hazipo kufanya biashara ili zipate faida ..zipo kutoa huduma Kwa wananchi ..masuala ya kuzozania mapato ndio sababu kubwa Arusha haina stendi mpaka sasa...
Stendi ya nyegezi kujengwa nyegezi badala ya nyashishi au mzozo wa rock city mall mwaka 2015 kati ya ilemela na MCC ..
Jengo la uwanja wa ndege wapewe taa ,,,liwe terminal 1then taa watajenga terminal 2 wakipata fedha hko baadae
 
Kwan ule mradi wa Tanki la buswelu si tayari umeisha.nadhani soon huko maji itakuwa historia
 
Jengo liwe supermarket
 
Jengo liwe supermarket
Haliwezi kuwa supermarket..Kwa Sababu itakuwa ni hasara Kwa halmashauri....waache walidesign liwe kama terminal 1 ..then wajipange Kwa ajili ya terminal 2
 
Hili halifai ata kuwa stendi ya daladala kwa maoni yangu mkoa wakubali hilo jengo liwe supermakeet kwa ajili ya wakati wa jiji la mwanza, kama wakizingua liwe jengo la mizigo la pili yaani godown.
 
Fact🤝
 
Napenda kutofautiana na wengine.
Hili jengo ni zuri sana angalia airport nyingi Hata hapa kenya tu majengo yao ni mabaya sana.
Kwa nilivyomsikia mkuu wa mkoa mpaka kukamilika litatumia 22B ikiwa ni pamoja na vifaa

Ujenzi wa terminal 2 tunaweza pigwa kwa sababu zifuatazo.

Kipindi cha Jpm walisema litajengwa jengo kubwa la size ya terminal 2 ya dar.
Je 32B utaweza jengo kama la terminal 2 ya dar? Hili tunalolikandya linatumia 22B je tofauti ya 10B itatupa kitu kizuri kweli.

Nina wasiwasi wamescale down ukubwa wa jengo kama kweli bajeti ni 32B.
Au hiyo ni bajeti ya jengo bila vifaa?
 
Terminal 2 itakuwa kwny 100bn hzo bn 32 labda ni kwa bajet ya mwaka huu af pili kwny hii issue magufuli alizingua kuziagiza halmashauri waweke pesa zao sasa huo ndo mgogoro na nahitaji ya jengo kubwa mwanza ni kwa sababu ukitoa uwanja wa Dar airport ya mwanza ndo inafuatia kuwa na abiria wengi
 
Naunga mkono hoja yako ..kinacholeta mkanganyiko hapa ,ni kupata kile ambacho hatukutarajia....jengo lenyewe ni zuri lakini sio lile tulilotegemea,,,,,.. Kilimanjaro terminal na Zanzibar terminal wana majengo ya kawaida tu lakin Yana standard.ila jengo letu hili ni zuri lakin halina standard za viwanja vya ndege vya kimataifa hyo ndo hoja yenyew ...kinachotakiwa tukubali the first mistake,,then second attempt ije na kitu classic na standard kama viwanja vingine vya kimataifa..
32 bilioni inatosha kujenga jengo zuri na standard kama tu hakutakuwa na upigaji ndani yake .chukulia mfano majengo yote ya pale nyamhongolo stendi yamejengwa Kwa bilioni 26 ..ebu assume Kwa jengo Moja likawekewa billion 32 naamini litakuwa Bomba tu
 
billion 26 ..plus upigaji ndani yak
 
Hamna serikali inaweza kubali kufanya hicho kitu as long as tumeruhusu siasa kuingizwa kwenye mambo nyeti kama haya tutasubiri sana kuwa na terminal ya kisasa hapo sato city
Hivi walituonaje sisi watu wa mwanza adi mkuu wa mkoa aliyekuwepo kukubali hii design na ufisadi mkubwa uliotukuka kwenye hilo jengo
 
ila wadau stand ya nyegezi ni 15.9 ila ni nzur ukiingia ndan had raha ilemela waliwapa kandaras kampun ya china kwa hyo hela bilion 26 wangempa mohamed builder wangejengewa bonge Moja la stand
Hyo bilioni 26 ni pamoja na stendi ya malori ..ila thamani ya stendi ya mabus ilemela na yenyew ni bilioni kama 16
 
Hivi walituonaje sisi watu wa mwanza adi mkuu wa mkoa aliyekuwepo kukubali hii design na ufisadi mkubwa uliotukuka kwenye hilo jengo
Hilo jengo limejengwa Kwa ushaur wa magufuli...Tena pale akiwa bugando anazindua kiwanda Cha damu ...wakurugenzi waliomba ujenzi wa jengo la abiria..magu akaagiza ujenzi uanze haraka Kwa fedha za force account wajengee hata Kwa nguzo za vyuma ,wafunike na vioo..kama magu alivyosema na wao wakafanya hvyo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…