Hiyo ni kwa jiji la mwanza yaan nyamagana lakini kwa nyamagana na ilemela watagusa 2 milion na zaidi me nakuambia.Mh.mbona itakuwa so overrated..Kwa sababu growth rate ya mwanza kati ya 2002 -2012 ilikuwa ni ongezeko la watu laki 4 ....ukichukua laki 7 +400000 .inapata estimate ya 1.1 m .hii ni exact minimum expectation
Kabisa halafu naona sasa hv wapo floor ya 8
Maybe .. Ngoja tusubiri..ila sasa mwache kuomba dual carriage.. haiwezekani jiji la watu 2 milioni lilie dual carriage kama manispaa za mtwaraHiyo ni kwa jiji la mwanza yaan nyamagana lakini kwa nyamagana na ilemela watagusa 2 milion na zaidi me nakuambia.
We 15 sio mchezo ... Unataka lianguke ,, sijawahi ona jengo la ghorofa 15 likajengwa kawaida na mafundi ...Hii dude kwa speed yake itafika 15 floor nazan watu mpaka waone macrane ndio waamini lkn hilo dude litasonga hivyo hivyo adi 15 floor
Ana mpango gani sasa wa kufacilitate ziwa litumike effectively.Hotuba ya mkuu mkoa wa mwanza akielezea fursa mbali mbali zilizopo kwenye ziwa Victoria...ambazo nyingi hazijulikani .mfano cage fishing ambao ni ufugaji wa kisasa wa samaki ndani ya ziwa ambao umeonekana kuwa effective sana kwenye uzalishaji wa samaki ..lakini wanaoufahamu ni wachache sana ..
Jembe itabidi tuombe tu hiyo dual carr kwa sasa coz hatuna.Maybe .. Ngoja tusubiri..ila sasa mwache kuomba dual carriage.. haiwezekani jiji la watu 2 milioni lilie dual carriage kama manispaa za mtwara
Mpango Gani sasa ..anawaita wawekezaji na vijana mkachukue mikopo Kwa ajili ya boti za uvuvi na mradi wa cage fishingAna mpango gani sasa wa kufacilitate ziwa litumike effectively.
Jembe hiyo ni company kubwa ya ujenzi mkuu ingekuwa ghorofa linaenda zaidi ya 20 hapo sawa mbona 15 floor ni ujenzi wa kawaida kama substructure ipo vizuri.We 15 sio mchezo ... Unataka lianguke ,, sijawahi ona jengo la ghorofa 15 likajengwa kawaida na mafundi ...
Huo mpango wa uvuvi ni vizuri angeupeleka, buchosa, magu, sengerema, igombe, kayenze na visiwani sisi wa hapa mjini tunataka fukwe nzuri na boat za utalii ili tulitumie ziwa letu vizuri zaidi, nilizan atakuja na mpango wa tampere park😂😂😂Mpango Gani sasa ..anawaita wawekezaji na vijana mkachukue mikopo Kwa ajili ya boti za uvuvi na mradi wa cage fishing
Si ipo ya makongoro.ni dual ,,,ukija Nyerere road kuna TRI Lanes carriage .... serikali inatakiwa ipige njia sita kuanzia junction ya kenyata road Hadi Usagara round about..ipige njia sita kutokea buzuruga mataa Hadi round about ya kisesa , ipige njia nne kutokea buzuruga mataa Hadi pasiansi na ijenge interchange buzuruga...na pasiansi..imagine hili jiji lingekuwa modern sanaJembe itabidi tuombe tu hiyo dual carr kwa sasa coz hatuna.
Mwanza ina watu wengi sana sasa hv mwaka 2012 buhongwa ilikuwa na watu 26000 unafkr 2022 itakuwajeMh.mbona itakuwa so overrated..Kwa sababu growth rate ya mwanza kati ya 2002 -2012 ilikuwa ni ongezeko la watu laki 4 ....ukichukua laki 7 +400000 .inapata estimate ya 1.1 m .hii ni exact minimum expectation
Kwan inayojengwa hapo ni nini . hotel au jengo la biasharaJembe hiyo ni company kubwa ya ujenzi mkuu ingekuwa ghorofa linaenda zaidi ya 20 hapo sawa mbona 15 floor ni ujenzi wa kawaida kama substructure ipo vizuri.
Hizo mipango kwa hii nchi yetu macho yote yapo Dar na dodoma tu sizan kama hizi plan zinaweza kutokea.Si ipo ya makongoro.ni dual ,,,ukija Nyerere road kuna TRI Lanes carriage .... serikali inatakiwa ipige njia sita kuanzia junction ya kenyata road Hadi Usagara round about..ipige njia sita kutokea buzuruga mataa Hadi round about ya kisesa , ipige njia nne kutokea buzuruga mataa Hadi pasiansi na ijenge interchange buzuruga...na pasiansi..imagine hili jiji lingekuwa modern sana
Hiyo ni hotel mkuuKwan inayojengwa hapo ni nini . hotel au jengo la biashara
Sasa rafik angu boti za utalii ziletwe na serikali Tena ..na private sector itakuwa na kazi Gani ..nadhan hyo ndio maana ya fursa kuwafanya watu kutambua opportunity mbalimbali na kuzifanyia uwekezajiHuo mpango wa uvuvi ni vizuri angeupeleka, buchosa, magu, sengerema, igombe, kayenze na visiwani sisi wa hapa mjini tunataka fukwe nzuri na boat za utalii ili tulitumie ziwa letu vizuri zaidi, nilizan atakuja na mpango wa tampere park
Buhingwa kwa sasa si chini ya watu 60000Mwanza ina watu wengi sana sasa hv mwaka 2012 buhongwa ilikuwa na watu 26000 unafkr 2022 itakuwaje
Si alikuwa na wadau wa sector binafsi angewaambia kuhusu hizo fursa, hili jiji limekaa poa sana, location yake ni balaa mkuu, pia ina kila kitu.Sasa rafik angu boti za utalii ziletwe na serikali Tena ..na private sector itakuwa na kazi Gani ..nadhan hyo ndio maana ya fursa kuwafanya watu kutambua opportunity mbalimbali na kuzifanyia uwekezaji
Duh kama ni hotel ni lazima 4 star...then Hiyo road itakkuwa accomodation site ..Kuna hotel classic Kama 5 .kuanzia edden palace pasiansi Hadi hotels farms ghanaHiyo ni hotel mkuu
Tatizo viongozi wakiwa kwenye makongamano ni wazuri kuhutubia ila wakiwa ofisini ni ukiritimba mtupu.. Kwan ni wawekezaji wangapi wameonesha ya kuwekeza na wamepigwa chiniSi alikuwa na wadau wa sector binafsi angewaambia kuhusu hizo fursa, hili jiji limekaa poa sana, location yake ni balaa mkuu, pia ina kila kitu.