Miradi ya tanroads lazima ipitishwa na bunge sio ya kuamka tu na kusema ..nakumbuka hata barabara ya airport Kuna kipind watu walipiga kelele imejengwa nje ya utaratibu wa bunge....tuwape muda tanroads watajenga tu ....as long as mnajua ccm ni siasa tupu before 2025 mtasikia tayari wameanza ujenziZingine ni gharama ndogo pia zinafadhiliwa na world bank, hiyo ya kenyatta ipo chini ya tanroad halafu ni dual carriage.
Hili jengo lilikuwa la muda, Mpango aliokuwa nao ni kujenga jengo kubwa, amekufa akaacha wanadesign, hii serikali iliopo wamesema design tayari ila ujenzi utaanza wakipata fedha.Nilimpenda lakini kwenye kuwapa mzigo halmashauri wajenge ni kama kuwaonea na inaonekana hili jengo la abiria halikuwa kipaumbele chake.
barabara ya kenyata njia nne had usagara hata billion 80 hazivukiHili jengo lilikuwa la muda, Mpango aliokuwa nao ni kujenga jengo kubwa, amekufa akaacha wanadesign, hii serikali iliopo wamesema design tayari ila ujenzi utaanza wakipata fedha.
Ujenzi wa hilo jengo hauwezi kuanza kama lililopo haliishi, sababu litajengwa pale yalipo mabanda ya sasa ambayo itabidi yavunjwe na shughuli zote zihamie kwenye jengo linalojengwa sasa.
Kuhusu barabara ya kenyatta, Magufuli asingeweza kuanza kujenga pamoja na daraja sababu ingekula pesa nyingi karibu trilioni moja, ni pesa nyingi sana kuitumia kwenye mradi wa mkoa mmoja wakati nchi yetu ni kubwa.
Ukijenga kwa mawazo finyu hazivuki, ila Ukijenga kwa kutafakari mahitaji halisia inazidi hapo.barabara ya kenyata njia nne had usagara hata billion 80 hazivuki
Kusema ukweli,, mwanza just like hatuliziki ila. Indeed mwanza project zake zimekula mabilion makubwa ya shilling nje ya dar .Hili jengo lilikuwa la muda, Mpango aliokuwa nao ni kujenga jengo kubwa, amekufa akaacha wanadesign, hii serikali iliopo wamesema design tayari ila ujenzi utaanza wakipata fedha.
Ujenzi wa hilo jengo hauwezi kuanza kama lililopo haliishi, sababu litajengwa pale yalipo mabanda ya sasa ambayo itabidi yavunjwe na shughuli zote zihamie kwenye jengo linalojengwa sasa.
Kuhusu barabara ya kenyatta, Magufuli asingeweza kuanza kujenga pamoja na daraja sababu ingekula pesa nyingi karibu trilioni moja, ni pesa nyingi sana kuitumia kwenye mradi wa mkoa mmoja wakati nchi yetu ni kubwa.
Unataka wajengee njia nne wakati huo huo unashabikia ujenzi wa petrostation buhongwa na mkolani ambazo ziko within road reserve ,,,,sijui mantiki hii inaitwaje..barabara ya kenyata njia nne had usagara hata billion 80 hazivuki
Wabomoe tu hakuna namna wao walijenga hawakujuaUnataka wajengee njia nne wakati huo huo unashabikia ujenzi wa petrostation buhongwa na mkolani ambazo ziko within road reserve ,,,,sijui mantiki hii inaitwaje..
Ndio hata hyo barabara ni muhimu sanaKusema ukweli,, mwanza just like hatuliziki ila. Indeed mwanza project zake zimekula mabilion makubwa ya shilling nje ya dar .
ukiangalia daraja la busisi
Meli
Uwanja wa ndege
Stendi
sGr nk
sometime serikali inaangalia balance and distribution of economic development Kwa mikoa mingine pia ...haiwezekani mkoa mmoja unakula almost trillion 2 .
Wana mahesabu tumeshacalculate mkuu kwa 25km dual carrige haiwez kuvuka 55 bilion+ fidia mkuuHili jengo lilikuwa la muda, Mpango aliokuwa nao ni kujenga jengo kubwa, amekufa akaacha wanadesign, hii serikali iliopo wamesema design tayari ila ujenzi utaanza wakipata fedha.
Ujenzi wa hilo jengo hauwezi kuanza kama lililopo haliishi, sababu litajengwa pale yalipo mabanda ya sasa ambayo itabidi yavunjwe na shughuli zote zihamie kwenye jengo linalojengwa sasa.
Kuhusu barabara ya kenyatta, Magufuli asingeweza kuanza kujenga pamoja na daraja sababu ingekula pesa nyingi karibu trilioni moja, ni pesa nyingi sana kuitumia kwenye mradi wa mkoa mmoja wakati nchi yetu ni kubwa.
Hii kitu nayo ni fikirishi sanaUnataka wajengee njia nne wakati huo huo unashabikia ujenzi wa petrostation buhongwa na mkolani ambazo ziko within road reserve ,,,,sijui mantiki hii inaitwaje..
Mkuu umeanza kuwa kama the sunk😂😂😂😂 acha kutubania mkuu.Kusema ukweli,, mwanza just like hatuliziki ila. Indeed mwanza project zake zimekula mabilion makubwa ya shilling nje ya dar .
ukiangalia daraja la busisi
Meli
Uwanja wa ndege
Stendi
sGr nk
sometime serikali inaangalia balance and distribution of economic development Kwa mikoa mingine pia ...haiwezekani mkoa mmoja unakula almost trillion 2 .
Kuna sehemu zina hitaji flyover or interchangeWana mahesabu tumeshacalculate mkuu kwa 25km dual carrige haiwez kuvuka 55 bilion+ fidia mkuu
Habari za flyover na interchange japo zipo kwenye ilani ya chama lakin naona ni kama ndoto ishu ni upanuzi kwanza mkuu huoni barabara ya makongoro inavyovutia bila ata hayo makorombwezo.Kuna sehemu zina hitaji flyover or interchange
Barabara ya makongoro ina mapungufu mengi,Habari za flyover na interchange japo zipo kwenye ilani ya chama lakin naona ni kama ndoto ishu ni upanuzi kwanza mkuu huoni barabara ya makongoro inavyovutia bila ata hayo makorombwezo.
Hata bandari ya Mwanza Kaskazini, yaani mnazindua meli mpya bandari bado ina touches za Mkoloni!!!Habari za flyover na interchange japo zipo kwenye ilani ya chama lakin naona ni kama ndoto ishu ni upanuzi kwanza mkuu huoni barabara ya makongoro inavyovutia bila ata hayo makorombwezo.
Short sighting ya viongozi wetu itatuumiza ... kenyata road inatakiwa kujengwa express way njia sita ,..kusema ukweli majiji ya kisasa huwezi Kuta wanahangaika na dual carriage inshort ni out of the date projects...sa hv ni express way .ingejengwa kuanzia Usagara Hadi town ,..Leo watajenga four lanes sawa baada ya miaka kumi mtaanza Tena kuomba upanuzi wa barabara. Kwa sababu huwezi kuwa jiji la watu almost milioni 2 then unakuwa dual carriage hii ni aibu ..Kuna sehemu zina hitaji flyover or interchange
Naleta changamoto kidogoMkuu umeanza kuwa kama the sunkacha kutubania mkuu.
Jiji kama dar ..nalo ndo Lina struggle kujenga kimara express way . ambayo hata machoni haipendezi . majiji yetu yamakaa kilocal sanaShort sighting ya viongozi wetu itatuumiza ... kenyata road inatakiwa kujengwa express way njia sita ,..kusema ukweli majiji ya kisasa huwezi Kuta wanahangaika na dual carriage inshort ni out of the date projects...sa hv ni express way .ingejengwa kuanzia Usagara Hadi town ,..Leo watajenga four lanes sawa baada ya miaka kumi mtaanza Tena kuomba upanuzi wa barabara. Kwa sababu huwezi kuwa jiji la watu almost milioni 2 then unakuwa dual carriage hii ni aibu ..
Kisumu ni ndogo kuliko Mwanza lakin kaangalie barabara zake ..
Kigali the same
...Mimi sishabikii dual carriage kusema ukweli . natamani kuona jiji linajengwa kama majiji ya kisasa ....wanaotakiwa kuomba dual carriage ni miji kama kahama ,tabora au babati sio majiji