Mwanza City: The Photo Gallery

Upande wa ufukwe ni nyamagana mpka hapo karibu na mwaloni na ilemela inaanzia hapo mwaloni hapo
 
View attachment 2359448
Hili jengo naona Wamefika floor ya saba au naona vibaya?
Kwa juu kama kuna matoleo ya floor ya nane.
Maeneo hot ilemela ambako unaweza kupata majengo makubwa
*Ghana kirumba
*Buzuruga
*Pasiansi
*ilemela
*…............?
Maeneo hot nyamagana (exclude CBD)
*nyegezi
*buhongwa
*Sehemu ya nyakato

Ukweli ni kwamba, nyamagana inabebwa sana na eneo kuanzia nyegezi Hadi buhongwa..wakati ilemela wanajiimarisha sana maeneo ya nje ya CBD kuvutia wawekezaji..japokuwa Kwa maisha nafuu wilaya ya nyamagana Iko Bomba ..kama unataka kuanza maisha mwanza tafuta chumba maeneo ya wilaya ya nyamagana
 
Kwa Mimi navyoelewa fukwe za pembezoni mwa mto mirongo ,ni nyamagana,eneo la Tampere,,clinic Hadi pale junction ya mwaloni , ilemela ndo inaanzia hapo ..
Mgawanyo wa wilaya ya nyamagana na ilemela unashida kubwa sana eneo la nyakato pale ..,,kuanzia buzuruga pale upande wa buzuruga plaza ni nyamagana, njoo pale TIA, nyakato sokoni,national,zimegawanywa na road ,,ukifika pale mwatex, viwanda vyote nyamagana Hadi igoma.... nyamhongolo pekee ndo Iko absolute ilemela.ila hii mitaa mingine kuanzia Sinai Hadi igoma hapaeleweki
 
Sasa hv kuna lwanhima sahwa ya chini na juu kuna nyumba za kiwango cha juu af zipo utitiri sana ujenzi wa hyo barabara utakuwa mzur sana pale sahwa ya chini kwny mrad wa maji wanajenga ofisi kubwa za idara ya maji
 
Tena nyegezi sasa

Ko hizo 10 percent ndo za kujenga Tampere park
Huu mrad wa tempere upo kwny makaratasi aisee
 
Ramani ya Ilemela ni hii

Angalia pembeni ya mto Mirongo utaona mpaka wa Nyamagana na Ilemela, Ikionyesha kata ya Kirumba baada mto Mirongo
 
Kwa upande wa Buzuruga upande mmoja wa barabara kuu (Musoma Road) Ni Nyamagana na upande mwingine ni Ilemela
 
Kwa Igoma Pande zote mbili za barabara kuu (Musoma Road) ni Nyamagana, the same to Nyamhongolo pande zote mbili za barabara ni Ilemela, Ndio maana huwa wanasema Maonyesho ya Nane Mwanza yanafanyika Nane nane Ilemela
Igoma-Nyamhongolo
 
ila nyamagana wezi sana, walichukua maeneo mengi muhimu na bado wakang'ang'ania rockcity mall.
Hospitali zote kubwa walibeba.
CBD yote ya mwanza walibeba.
Viwanda vya nyakato wakabeba.
Hoteli zote kubwa Ukiacha malaika walibeba.

Ilemela walifaidika na vitu viwili tu. Soko la mwaloni na stendi ya buzuruga, labda na airport.


Kwa nionavyo mimi kata yote ya Isamilo ilitakiwa iwe Ilemela.

Halafu kwa nini watumie Jina la Mwanza city Council badala ya Nyamagana city Council?
Siku Ilemela ikipata City status itakuwaje?

Mfano huwa wakisema halmashauri ya Dodoma imeizidi halmashauri ya jiji la Mwanza kimapato, watu wengi huwa hawajui hapa inaongelewa nyamagana pekee bila kujumuisha ilemela.
Lakini Ukisema dodoma imeizidi nyamagana ni rahisi kuelewa
 
Ila kwenye eneo Ilemela walimegewa aisee, Nyamagana, ni kama imejaa.. Kipindi wanaunda Jiji la Mwanza Ilemela ni kama ilikuwa inaishia sabasaba / Buswelu. Huko kwengine ni Mashamba tu, Karibia 2/3 ya Halmashauri ilikuwa ni Mashamba tu. Hata kata zilikuwa hazizidi 10, ila sasa kwa sasa kuna kata karibia 20
 
Ndani ya miaka 10 ijayo, Nyamagana wanaweza kupigwa bao Kali sana.

Ilemela wamekaa kimkakati sana.

Baada ya Nyamhongolo, kama eneo LA Buzuruga wakiliwekea mkakati mzuri, mambo yatakuwa fire sana.
 
Nyamagana imebaki Lwahnima, Sahwa na Kishiri huko.
 
Ndani ya miaka 10 ijayo, Nyamagana wanweza kuoigwa bao Kali sana.

Ilemela wamekaa kimkakati sana.

Baada ya Nyamhongolo, kama eneo LA Buzuruga wakiliwekea mkakati mzuri, mambo yatakuwa fire sana.
Sema Buzuruga eneo lipo mpakani bro, Ilitakiwa Pasiansi, Buswelu, Ghana au hata Kiloleli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…