Mwanza City: The Photo Gallery

Naomba uliza hivi jengo la abiria airport mwanza limeishia wapi. Naona stendi zimewai kuisha kabls ya jengo. Na ni kubwa zingeweza kua ata terminal
 
Mbona Nera kuna Jengo la 10f au Nera sio Ilemela
Nera upande mmoja wa barabara ni Nyamga, na upande wa pili wa Barabara wenye fukwe ni Ilemela, Hivyo kuanzia mto Mirongo upande wa fukwe ni Ilemela zikitenganishwa na Nyamagana kwa Barabara ya Makongoro mpaka ni Shule ya Msingi Mwenge (Ilemela) na Kanisa la KKKT (Nyamagana) kuelekea milimani kurudi Isamilo ndio Nyamagana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…