Kipind nakaa mkuyuni, nilikuwa napita hii njia kwenda nyakato,,,kulikuwa ni vichaka na kunatisha....majambazi ya nyakato yalikuwa yanajificha huku .Igelegele ipuli&wazimu huku miaka 5 ijayo ni Nyasaka kabisaView attachment 2358510View attachment 2358511View attachment 2358512
Kaka uko nyuma mno kuhusu taarifaPale buzuruga manispaa ya ilemela ingeingia ubia na Hawa watu wa social fund wajenge jengo kubwa la kitega uchumi au kama vp wakope pesa bank wajenge jengo la kitega uchumi kubwa mnoo ndan ya miaka 5 pesa inarud
Ndio najua wanajenga lkn wanaanza kujenga lini pale pasibaki hvyhvy mda mrefuKaka uko nyuma mno kuhusu taarifa
au wasisubiri mirad ya tactics kwan mpk iishe hyo waliyopewaNdio najua wanajenga lkn wanaanza kujenga lini pale pasibaki hvyhvy mda mrefu
kwenye suala la investment kaka ...Huwa haifanyiki ili kumridhisha mtu au kupendezesha tu eneo . lazima ifanyike analysis, proposal zifanyike ,ili kuwepo na win to win situation.kwamba mwekezaji anufaike,raia anufaike ,na mamlaka wanufaike ......hili suala halmashauri waichie tu private sector ,,wao hata wasijihusishe na biashara..eneo waligawe Kwa watu binafsi wafanye investmentNdio najua wanajenga lkn wanaanza kujenga lini pale pasibaki hvyhvy mda mrefu
Mbona hapo ulipo piga Kuna Giza[emoji849]Capri point,igogo,bugando View attachment 2358977
Hapo upande wa nyuma kunashule ya igogo secondary na malulu primaryMbona hapo ulipo piga Kuna Giza[emoji849]
[emoji16][emoji16]hyo location ni iseni + butimba ASijui uko ndio sengerema kwenye taaa uko? Imekula zoom la kutosha [emoji3]View attachment 2359006
Na nyegezi majengo mapya Kwa mbali[emoji16][emoji16]hyo location ni iseni + butimba A
Hapana sio iseni wala butimba[emoji16][emoji16]hyo location ni iseni + butimba A
We umepiga picha ukiwa mlima gani ..then nikuambie hapo ni wapHapana sio iseni wala butimba
Kama umepigia bugarika,ipuli , uelekeo wa kusini magharibi automatic hyo location ni mlima wa pale iseni ni parts za majengo nyegeziHapana sio iseni wala butimba
Mlima ulipo mnara wa afya radio au E fmWe umepiga picha ukiwa mlima gani ..then nikuambie hapo ni wap
Umepiga uelekeo wa ziwa ? ..bas sio kwenyeweMlima ulipo mnara wa afya radio au E fm