Nawish ingekua ivo ila majengo meng hapo n ya mda natamn uksem mijengo tuone kwel sio ayo ya mda...nipo dom na nmetok chuga kule kwel majengo yanashushw sjui wawekaz mwanz wanakwama wap..suburb mwanza zinakua San kulko mji wowote tanzania ishu n hapo cbd