Mwanza City: The Photo Gallery

Hili ziwa mnalionaje? Naona kina kinazidi kuongezeka tu hili ni tatizo aisee....
Sidhani kama kina kiaongezeka, ziwa lina kina kifupi sana, yaani uwanja wa mpira goli hadi goli ni parefu. Ziwa lina 82m depth only sema upana ndio beseni au saani. Na kijiografia ndio ziwa ambalo lipo juu ya usawa wa bahari.

Financial constraints.lakin wako sawa tu Kwa sababu nyegezi inachukua idadi hyo ya mabus lakin most ya mabus yanaondoka asubuhi.mchana hupungua Kwa hyo hatuwezi kulaumu sana .nadhan consultants waliliona hili pia ..
Nikurekebishe kidogo stendi ya nyamhongolo haijajengwa Kwa ajili ya mabus ya musoma au Mara tu .hata mikoa mingine inaruhusiwa kupaki mabus hapo Kwa hyo nyamhongolo na nyegezi zinaweza kugawana magari .
 
Sidhani kama kina kiaongezeka, ziwa lina kina kifupi sana, yaani uwanja wa mpira goli hadi goli ni parefu. Ziwa lina 82m depth only sema upana ndio beseni au saani. Na kijiografia ndio ziwa ambalo lipo juu ya usawa wa bahari.

View attachment 2353825
Kwa sasa maji yamesogea sana juz nimeenda mamba beach aisee maji yamesogea mita kama 8+
 
Mfano ruti ya mwanza tabora huwezi kutoa gari nyamhongoro mwenzio akatoa nyegezi lazima ulie halafu 80% ya abiria wa nyamhongoro ni walewale

Nakupa miaka 6 stand ya nyegezi lazma itapike magari
 
Kwa sasa maji yamesogea sana juz nimeenda mamba beach aisee maji yamesogea mita kama 8+
Hiyo sio kina kuongezeka, ila ujazo ndio umeongezeka. Kina kipo pale pale sema ujazo ndio umeongezeka inaonekana kuna maeneo mvua imeanza hasa naisi kwenye vyanzo vvya mto Kagera (Rwanda/ Burundi)
 
Mfano ruti ya mwanza tabora huwezi kutoa gari nyamhongoro mwenzio akatoa nyegezi lazima ulie

Nakupa miaka 6 stand ya nyegezi lazma itapike magari
Ila kuna bus Dar-Mza nasikia baadhi zinaanzia Mhongolo
 
Ila kuna bus Dar-Mza nasikia baadhi zinaanzia Mhongolo
Mbona ruti ya kahama Ina option..yaaani Mimi wa kahama nachagua nichukue fresters ya nyegezi,au nichukue kisire na zuberi ya nyamhongolo..
Niliwahi kumsikia mkurugenzi anasema ,mabus yatakuwa yanapaki Kwa shift.. nyegezi Huwa Ina mabus mengi sana mida ya asubuhi .. nyamhongolo Huwa in mabus ya nenda Rudi meengi
 
Hio kisire ya kahama ipo moja,hio gari inachukua abiria wa kuanzia sirari unafaulishwa, hio frester inaanzia msoma nyamhongoro akuna kampuni ya zuberi.Zuberi kakwe ni kisesa na garage yake ipo kanyama

Ukitoa kisire inayofaulishiwa abiria na kisire ya kirari hakuna gari nyingine inayoanzia safari hapo nyamhongoro
 
Hiyo sio kina kuongezeka, ila ujazo ndio umeongezeka. Kina kipo pale pale sema ujazo ndio umeongezeka inaonekana kuna maeneo mvua imeanza hasa naisi kwenye vyanzo vvya mto Kagera (Rwanda/ Burundi)
Hatari sana
 
Ngoja nikupe jibu.

1.
Basi zote haziondoki muda mmoja, ikiondoka moja ingine inapata gap ingawa najua hakuna siku hiyo stendi itakuwa imejaa basi hata kama ni asubuhi.

2.
Baada ya miaka 4 basi zitapungua sana hiyo njia, watu wengi watapenda kutumia treni.
Yaani sgr itakuwa imekamilika
 
Hoja yako nimeielewa kwamba ulitamani nyegezi wajenge bus terminal kubwa zaidi ni sawaa..lakin Kwa eneo lile wasingeweza kujengenga stendi ya ukubwa huo ...
Uwepo wa stendi mbili mwanza ,,kunatoa option ya baadhi ya magari kuanzia routi huko .... stendi ya mbezi licha ya ukubwa wake bado mabus hayakutaka kupaki huko ..Kwa hyo unapofanya uwekezaji mkubwa lazima uangalie possible return..
MCC wamefanya kuminimize risk ( kujenga bonge la stendi)
 
sgr ya serikali wacha tuone

Unajua sababu ya stand ya buzuruga kujaaa? Na ilikua inahudumia mkoa mmoja
 
Duniani kote gari inayoondoka ndio inapaki stendi, yaani watu wanawaza kama vile gari zinakaa hapohapo haziondoki.
Hiyo ni stendi sio garage.
 
sgr ya serikali wacha tuone

Unajua sababu ya stand ya buzuruga kujaaa? Na ilikua inahudumia mkoa mmoja
Stendi ya buzuruga inahudumia
Mara ,simiyu,geita,kigoma,na shinyanga kiufupi ni stendi ya Kanda ya ziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…