intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 706
- 1,126
Nilipita na coaster ila nitapita mguu kwa mguu nitazipiga picha tuPicha tafadharii
Bei ya aridhi kikwazoLuchelele ni pazuri sana sijui kwann huwa watu hawajengi sana viwanja vingi vipo open
Itajengwa airport hadi Nyangugeilemela wakikamilisha hz projects mfn barabara ya airport had kisesa au nyanguge,barabara ya ilalila kupitia kabusungu kuungana na barabara ya sangabuye,barabara ya mbogamboga had nyamhongolo stand,barabara za mitaa ya buswelu watatisha sana
Ilemela haitakuja kuipita nyamagana hata siku . Moja kilichokwamisha nyamagana ni geographic yake ni milima mingi ..mji unakuwa kama hauonekani ..lakin project za isamilo ,na luchelele viwanja vimeshauzwa tayari tutegemee makubwainavyoonekana NDANI ya miaka 5 Ilemela itaanza kuipundua Nyamagana?
TOfauti ya ilemela na Nyamagana, Ilemela bado aridhi kubwa haijavamiwa kwa hiyo kuna nafasi kubwa sana ya kuupanga mji Kisasa, Kata kama ya Shibula, Kahama, Sangabuye, Igogwe na Kayenze bado sehemu kubwa ni mapori.Ilemela haitakuja kuipita nyamagana hata siku . Moja kilichokwamisha nyamagana ni geographic yake ni milima mingi ..mji unakuwa kama hauonekani ..lakin project za isamilo ,na luchelele viwanja vimeshauzwa tayari tutegemee makubwa
Hii Ngoma noma ...imepafanya pawe superbBila shaka una maanisha jengo hili mkabala na kingdom hotel
View attachment 2352849View attachment 2352851
Ukiitoa city centre na kapripoint ilemela imejengeka sana aiseeIlemela haitakuja kuipita nyamagana hata siku . Moja kilichokwamisha nyamagana ni geographic yake ni milima mingi ..mji unakuwa kama hauonekani ..lakin project za isamilo ,na luchelele viwanja vimeshauzwa tayari tutegemee makubwa
Isizidi 7m size sqm 700+Bajeti yako ni kiasi gani?
Nzuri ni nyamhongoro tatizo ni ndogoEt wadau stand ya nyamhongolo na nyegezi ipi ni nzuri na inavutia?
Kwa hoja ya ukubwa ,..ni sawa sema Nyegezi imejengwa eneo limebanana ,,,Kwa sababu stendi zote zinachukua mabasi 120 ....Nzuri ni nyamhongoro tatizo ni ndogo
Sidhani kama ilemela Ina eneo limejengeka kama kuanzia nyegezi Hadi buhongwa..na nyegezi usiitazame pale road tu ..ingia kama unaenda majengo mapya kule juu ,,Kuna chobsi huko pamejengwa balaaUkiitoa city centre na kapripoint ilemela imejengeka sana aisee
Bei nzuri sana hyo ,,unapata mbona Tena kikubwa tuIsizidi 7m size sqm 700+
Sijawahi ingia nyegezi kumbe inachukua mabas 120 tu.Kwa hoja ya ukubwa ,..ni sawa sema Nyegezi imejengwa eneo limebanana ,,,Kwa sababu stendi zote zinachukua mabasi 120 ....
Kwa taarifa walizotoa .Sijawahi ingia nyegezi kumbe inachukua mabas 120 tu.
Hyo itakuwa the breeze..anakuja Kofi hapo soonila wazee tuseme ukweli kipind cha samia maujenz mwanza yameshika kas sana hasa masheli af nimepita njia ya sabasaba buswelu haloo Napo kuna masheli sio mchezo af pale kiseke A kuna bonge Moja la pub balaa
Stand ya nyegezi ilipaswa kubeba mabus 500 tofaut na hii ya nyamhongoroKwa taarifa walizotoa .
Planners wa miji yetu ni bure kabisa hawatarget mbele wanaangalia karibuStand ya nyegezi ilipaswa kubeba mabus 500 tofaut na hii ya nyamhongoro
Kwa sasa ruti ya mwanza-sirari limebaki gap moja tu la usiku kwanzia saa moja na gari ipo George Town
Pia ruti ya mwanza-msoma imejaa kabisa
Ruti zilizobaki ni vijijini tu
Ila stand ya nyegezi inahudumia mikoa 10+ inakuaje ndogo kiasi hicho?