Mwanza City: The Photo Gallery

Pia hapo eneo la Kilanyasi na hapo opposite green view pub wasimamishe mizigo kama huo patapendeza sana
 
Hv Sasa hv nipo hapa maeneo ya ghana kuna gorofa naona linajengwa sasa hv naona wapo floor ya sita nahisi hilo jengo watajenga floor 10
Uwe unapiga picha si una simu kaka, piga pia kibao chenye maelezo ya ujenzi, sisi wachukunuzi huwa inatusaidia kupata Taarifa zaidi😂
 
inavyoonekana NDANI ya miaka 5 Ilemela itaanza kuipundua Nyamagana?
yan nyamagana ukiachana city centre sehemu ambazo ni pazuri ni buhongwa,mkolani,nyegezi,lwanhma,mahina na mhandu zingine ni ovyo sana ila ilemela mitaa mingi ni mizur sana aisee mfano nyamhongolo,kiseke,nyasaka,kirumba,mecco,kangae,buswelu,kahama,ilemela sehemu ambazo ndani ya miaka 5 zitakuja vzur sana igombe,sangabuye,kayenze,ilalila na shibula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…